Anatafuta pa kutokeaNchi hii uhuru umepitiliza,yaani mtu aliyeshindwa kusimamia sheria za soka uwanjani na kufungiwa maisha leo hii anawakosoa na kuwafundisha waliopewa dhamana hiyo baada ya yeye kushindwa,
Imenikumbusha serikali yangu aliyefeli ndio anakuwa mwalimu akamfundishe mwanafunzi kufaulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilichezesha mechi ya parokia pale kinesi aaaaah niliapa kitoshika tena filimbi katika maisha yangu....Mimi nikiwa kidato Cha Nne nilichezesha Mpira shule ya Kisarawe na Minaki.
Tangu pale sijawahi kuchezesha Tena Mpira zaidi ya Miaka 10 sasa....
KUCHEZESHA MPIRA SI KAZI NYEPESI.
Tena rushwa ya kitoto kbs ,na azam wakampa na ajiraHuyu ndio alikula rushwa ya kuishusha maji maji y songea. Ili azam fc ibakie big 4.mwaka husika
HahahahaAngekuwa anazijua angefungiwa maisha?
Huyo ni mnazi lialia wa MikiaTena rushwa ya kitoto kbs ,na azam wakampa na ajira
Sasa si angesema tu ili tumchangie aina mbalimbali za nafaka na viberiti?Muache apate kula aisee,
Ahsante sana. Mtanzania atakunyima pesa, ugali au connection ila hatokunyima habari/taarifa/neno/ubuyu/nyepenyepe/za chini chini.Tena rushwa ya kitoto kbs ,na azam wakampa na ajira
Hakina tija katika ustawi wa soka la nchi maana hatuwezi kumtumia mwovu na mvunja sheria na mhaini wa soka letu kama reference ,aache kunyooshea watu vidole wakati yeye ni mchafu tena ananuka rushwa,Badala ya kumjadili mtu kama mtu, ungejadili kwanza kile anachokifanya kama kina tija au la. Nje ya hapo, utakuwa huna tofauti yoyote ile na mpishi maarufu wa chakula kinachoitwa majungu.
Kwani kuna ugumu gani? Kutafsiri sheria au kutenda haki? Binafsi nishawahi kuchezesha kishule shule na sikupata changamoto labda kwa vile nilikuwa madarasa ya juu.Nimecheza mpira kwa kiwango fulani ,nimekua ktk soka na club fulan hv
Ila katika kitu siwezi ni kuchezesha mpira km refarii
Mie naona nitakua na mahaba ama ya timu au ya mchezaji ,kifupi nitaborongaKwani kuna ugumu gani? Kutafsiri sheria au kutenda haki? Binafsi nishawahi kuchezesha kishule shule na sikupata changamoto labda kwa vile nilikuwa madarasa ya juu.
Hivi huu utamaduni wa kujadili watu badala ya hoja zào umeletwa na Nani?Nchi hii uhuru umepitiliza,yaani mtu aliyeshindwa kusimamia sheria za soka uwanjani na kufungiwa maisha leo hii anawakosoa na kuwafundisha waliopewa dhamana hiyo baada ya yeye kushindwa,
Imenikumbusha serikali yangu aliyefeli ndio anakuwa mwalimu akamfundishe mwanafunzi kufaulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukosoa waamuzi mbona kazi rahisi sanaNchi hii uhuru umepitiliza,yaani mtu aliyeshindwa kusimamia sheria za soka uwanjani na kufungiwa maisha leo hii anawakosoa na kuwafundisha waliopewa dhamana hiyo baada ya yeye kushindwa,
Imenikumbusha serikali yangu aliyefeli ndio anakuwa mwalimu akamfundishe mwanafunzi kufaulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]