Umekuja vizuri, Kona si halali aliutoa mpira ni kolowizard mbumbumbu fc player, haya refa wa mchongo demu wenu akawapa Kolo kona isiyo halali, wakati refa anapanga wachezaji kolo wakaona Yanga hawajajipanga, wakapiga Kona fasta kihuni bila refa kuona na wala kuruhusu na Sheria ya mpira refa ndie huanzisha mwendo na kimsingi refa hutakiwa kuona Kila tukio! Na hata mshika kibendera hakukaa mbele ya mpira Kona isipigwe bila filimbi ya refa kama tunavyoona EPL!
Haya baada ya Yanga kufungwa goli la mchongo wakatoka kabisa mchezoni kwa kujua refa hamna na labda bahasha imetembea Ili Simba wapate kombe la kuifunga Yanga baada ya kutoka patupu msimu mzima!
Kule Kigoma ngao ya jamii ilipangwa Yanga wacheze kumi Simba ishinde, Mukoko akatolewa baada ya kurukiwa mgongoni na Boko kama mieleka na refa kupeta kijinga , Mukoko akahamaki na kujibu, akala red! Simba ikashinda!
Haya huko Tanga kunani Ally Salim anaruka kabla penati kupigwa halafu mnajisifia ushindi haramu! Kweli kolokoloni mwenye akili ni mmoja tu Imail Rage the Great!
yaani hakuna ushindi wowote wa kolowizard mbumbumbu fc usio na magumashi! Hilo tayari linafahamika ila Makolo kazi kushupaza shingo tu!