Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

We ushawahi kufika robo fainali ya CAF CHAMPION LEAGUE
 
Umekuja vizuri, Kona si halali aliutoa mpira ni kolowizard mbumbumbu fc player, haya refa wa mchongo demu wenu akawapa Kolo kona isiyo halali, wakati refa anapanga wachezaji kolo wakaona Yanga hawajajipanga, wakapiga Kona fasta kihuni bila refa kuona na wala kuruhusu na Sheria ya mpira refa ndie huanzisha mwendo na kimsingi refa hutakiwa kuona Kila tukio! Na hata mshika kibendera hakukaa mbele ya mpira Kona isipigwe bila filimbi ya refa kama tunavyoona EPL!

Haya baada ya Yanga kufungwa goli la mchongo wakatoka kabisa mchezoni kwa kujua refa hamna na labda bahasha imetembea Ili Simba wapate kombe la kuifunga Yanga baada ya kutoka patupu msimu mzima! Kibu akafunga akasifiiiiwa wakati goli lake haliiingii hata robo kwa goli la Feitoto Kirumba akiwa Bado ni mwananchi! Lile ni kutoka katikati ya uwanja! Mwambieni Kibu afunge Tena kama ataweza!

Kule Kigoma ngao ya jamii ilipangwa Yanga wacheze kumi Simba ishinde, Mukoko akatolewa baada ya kurukiwa mgongoni na Boko kama mieleka na refa kupeta kijinga , Mukoko akahamaki na kujibu, akala red! Simba ikashinda!

Haya huko Tanga kunani Ally Salim anaruka kabla penati kupigwa halafu mnajisifia ushindi haramu! Kweli kolokoloni mwenye akili ni mmoja tu Ismail Rage the Great!

yaani hakuna ushindi wowote wa kolowizard mbumbumbu fc usio na magumashi! Hilo tayari linafahamika ila Makolo kazi kushupaza shingo tu!
 
I rest my case.Umejazwa upepo ukajaa.Nimekumbuka hata mlipofungwa goli 6 refa aliwatoa wachezaji wenu "mchezoni" kwa kucheka.
 
Ndio haiwezekani kipa anawaibia waamuzi kwa kutoka kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa alafu wanamuacha tu
Tukuamini wewe uliyekuwa unatazama kwenye luninga au tumwamini mshika kibendera aliyekuwa mita chache tu akimtazama kipa Salim anavyodaka kwa kufuata sheria?
 
Mwambieni awape ubingwa wa ngao asiishie kuchambua tu.
 
Raha aitoe wapi jizi linaibia penati linatoka kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa alafu linapewa sifa
Mwongo! picha zinaonesha alikuwa kwenye mstari, na mshika kibendera alikuwa hapo hapo akitazama, na hakuna mpiga penati hata mmoja wa yanga aliyemlalamikia mwamuzi!!
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…