CCMYeye alikuwa chama gani?
Polepole anasema waliratibu huo mpango akiwa Mwenezi. Sina sababu ya kutomwamini! Othman, take noteWakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM
Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa na Polepole siku 2 nyuma amesema kwamba wakati yeye anaingia ACT mwaka 2019 hakuwahi kusikia kauli kama yao na hajui lolote kuhusu na kama lilikuwepo basi lilikuwa ni "Behind The Scenes"
Huyu nadhani anasema ukweli japo sasa hivi huenda anajua ukweli. ACT ilianzishwa kwa msaada wa Kikwete kwa ajili ya uchaguzi wa 2015.Kupitia kwa yule kijana hilo la kuwa CCM Project siyo kificho.
Huyu nadhani anasema ukweli japo sasa hivi huenda anajua ukweli. ACT ilianzishwa kwa msaada wa Kikwete kwa ajili ya uchaguzi wa 2015.
Polepole anasema ACT ni project ya CCM na yeye alishiriki katika hilo.
Maswali yangu ni machache tu je inakuwaje Chama chao wanakinyima wabunge wa viti maalumu na wabunge wa majimbo wakati ndio ilikuwa nafasi pekee yakukifanya kiwe Chama kikuu cha upinzani na kuiondoa Chadema ambayo wanatumia kila mbinu kiua.
Swali la pili waliruhusu vipi Chama chao kibaraka kimuunge mkono Lissu katika uchaguzi wa 2025 wakati Lissu ni adui yao mkuu.
Swali la tatu kwanini walitumia nguvu kubwa yakuiba kura katika majimbo ambayo ACT walikuwa na nguvu wakati iko ni chama kibaraka kwao.Video zipo kama ushahidi katika hilo.
Maswali yapo mengi ila nisaidieni kumfikishia Polepole hayo machache.
Nadhani anaposema ni ‘project zao’ ana maanisha kipo compromised tokea ndani yaani kimejaa mapandikizi na hakipo hapo kutimiza lengo lolote la kisiasa zaidi ya kiini macho.kabisa, kama wao ndio walikitengeneza walishndwaje hata kuwapa majimbo mawili matatu 2020?
Chama kinaitwa Behind the Scene sorry kinaitwa Behind the SinYeye alikuwa chama gani?
Nadhani anaposema ni ‘project zao’ ana maanisha kipo compromised tokea ndani yaani kimejaa mapandikizi na hakipo hapo kutimiza lengo lolote la kisiasa zaidi ya kiini macho.
Chukulia mfano wa vyama kama CUF bara, NCCR, TLP na UDP vyote vinafahamika ‘ni project’ lakini kwa muda tu huwa havipati hata kiti kimoja.
Kuwa full funded kwenye day to day operations zao kama alivyowahi kukiri ‘mzee wa ubwabwa’ ndiyo uproject wenyewe huo, watu wanasurvive five good years hawana cha ruzuku, michango ya wanachama wala miradi yoyote until next election ndiyo wanaibuka tena, how?!
kabisa, kama wao ndio walikitengeneza walishndwaje hata kuwapa majimbo mawili matatu 2020?
Kwa upande wa Zanzibar walikua nayo majimbo 2kabisa, kama wao ndio walikitengeneza walishndwaje hata kuwapa majimbo mawili matatu 2020?