MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
Mkuu sio lazima!Othman Mosoud aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serekali ya SMZ,
Je inawezekana Mwanasheria mkuu wa serekali asiwe usalama wa taifa?
Mkuu sio lazima!Othman Mosoud aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serekali ya SMZ,
Je inawezekana Mwanasheria mkuu wa serekali asiwe usalama wa taifa?
Mkuu ni maoni yako na mtazamo wako, una jingine???Polepole kaamua kupata wafuasi kwa kusema kile wanachopenda kukisikia.
Bahati mbaya tupo nchi ambayo kuhoji sio lazima ila kuwapa bendera fata upepo ni rahisi sana.
Polepole anawatumia wafuasi wa Chadema ili kutrend nchini na bahati mbaya njia anazotumia hazisaidii lolote zaidi wenyewe wanaendelea na mambo yao.
ukimuangalia polepole na kumsikiliza unagundua anaongea yote anayoongea kwasababu hayupo kwenye meza ya chakula sio kwasababu yanamkera yanayotokea.
Na kaamua kumtumia Lissu kupata wafuasi wakumuunga mkono.Kama ni mkweli awaseme waliompiga risasi Lissu naamini anawajua.
Hayupo kwenye meza ya chakula kwa maamuzi yake binafsi , sasa anapata faida gani na umaarufu gani unadhani polepole anautaka ambao alikuwa hana?Polepole kaamua kupata wafuasi kwa kusema kile wanachopenda kukisikia.
Bahati mbaya tupo nchi ambayo kuhoji sio lazima ila kuwapa bendera fata upepo ni rahisi sana.
Polepole anawatumia wafuasi wa Chadema ili kutrend nchini na bahati mbaya njia anazotumia hazisaidii lolote zaidi wenyewe wanaendelea na mambo yao.
ukimuangalia polepole na kumsikiliza unagundua anaongea yote anayoongea kwasababu hayupo kwenye meza ya chakula sio kwasababu yanamkera yanayotokea.
Na kaamua kumtumia Lissu kupata wafuasi wakumuunga mkono.Kama ni mkweli awaseme waliompiga risasi Lissu naamini anawajua.
Mwanasheria mkuu ni lazima, Security clearance level yake inatakiwa kuwa juu sana level ya sensitive Compartmented Information (SCI) sasa utampata wapi raia mwenye hiyo clearance?Mkuu sio lazima!
Jifunze kusoma na kuelewa sio kusoma na kujibu kiongozi.Hayupo kwenye meza ya chakula kwa maamuzi yake binafsi , sasa anapata faida gani na umaarufu gani unadhani polepole anautaka ambao alikuwa hana?
Jifunze kusoma na kuelewa sio kusoma na kujibu kiongozi.
Hivi unajua alichokifanya Polepole ile tu kuzungumza angekuwa raia mtumishi wa umma ni jela miaka 20 , kwa kazi aliyokuwa nayo ni sawa na ku-saini hati ya kifo chake , hataachwa mabadiliko yafanyike ama yasifanyike teyari , ataishi kama panya maisha yake yote, unadai hili jambo ni kuvunja mjadala ya Lissu ,kesi ya Lissu inasikilizwa na wanachama wa Chadema hawana la kufanya zaidi ya kusubiri mwenendo wa mashtaka utakavyoamuliwa na serikali na kama umesikiliza Polepole amesema Tundu Lissu aachiwe sasa anaua mjadala gani hapo nyie shida mnapenda kufuatilia mada za udaku .Polepole hana impact yoyote ile zaidi ya kuwa kama debe tupu.Mange kimambi ana athari zaidi kwa maneno yake kuliko polepole.
Ila kwasababu tupo dunia ambayo bendera ni wengi acha ngoma iende.
Huyu Polepole anawapotezea watu ajenda yao ya NO REFORMS NO ELECTION ila hadi ukiwa na akili ndio utaelewa hilo.
Sasa hivi maneno ya polepole ni maarufu kuliko kesi ya Lissu hilo ndilo analotaka anaifanya kazi maalum kwa akili kubwa sana.
Sasa hivi kampeni ya NRNE haina nguvu zaidi ya maneno ya Polepole.
Endeleeni kujaa kwenye mfumo mkijakushituka Raisi anaapishwa.
Muenendo wa kesi ya Lissu ulikuwa mgumu sana kwa watesi wake kwahiyo kete zinasukumwa kwa akili mingi sana.
Wanajitokeza watu kama wapambanaji lakini nyuma ya pazia wanasaidia malengo makuu ya Chama.Kile chama sio dhaifu kama wengi wanavyojidanganya wana mbinu kedekede.
Kwa upande wa Zanzibar walikua nayo majimbo 2
Act wazalendo inaweza kuwa ni kwel ni project ya ccm ila iyo ni kwa upande wa tanganyika sio Zanzibar
Ni kukidhibiti kisikengeuke. Kwani hata chadema nayo si ilikuwa project. Ikakomaa wamejisafisha sasa imekuwa threat.Polepole anasema ACT ni project ya CCM na yeye alishiriki katika hilo.
Maswali yangu ni machache tu je inakuwaje Chama chao wanakinyima wabunge wa viti maalumu na wabunge wa majimbo wakati ndio ilikuwa nafasi pekee yakukifanya kiwe Chama kikuu cha upinzani na kuiondoa Chadema ambayo wanatumia kila mbinu kiua.
Swali la pili waliruhusu vipi Chama chao kibaraka kimuunge mkono Lissu katika uchaguzi wa 2025 wakati Lissu ni adui yao mkuu.
Swali la tatu kwanini walitumia nguvu kubwa yakuiba kura katika majimbo ambayo ACT walikuwa na nguvu wakati iko ni chama kibaraka kwao.Video zipo kama ushahidi katika hilo.
Maswali yapo mengi ila nisaidieni kumfikishia Polepole hayo machache.
Kama anakanusha badala ya kuchunguza na kufuatilia, basiyeye mwenyewe Othman ni project na pandikizi lemyewe lililounganishwa kutoka Ccm.Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM
Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa na Polepole siku 2 nyuma amesema kwamba wakati yeye anaingia ACT mwaka 2019 hakuwahi kusikia kauli kama yao na hajui lolote kuhusu na kama lilikuwepo basi lilikuwa ni "Behind The Scenes"
Wewe hauwezi kujua mitandao ya kimafia inavyofanya kazi.itakuaje project kwa Tanganyika wakati mwenyekiti wa ACT tanzania nzima ndio huyo huyo? Binfasi siwezi amini sehemu amabyo yupo mtu kama Ismail Jussa alafu eti wawe project ya CCM. ni propaganda uchwara tu kutoka kwa chadema.
Unakumba kipindi wanainadi CUF ni CCM B? na baadae wakaja wakaungana nao kwa Ukawa. kama CUF ilikuwa ni kweli CCM b ilikuwaje hata wakaungana nao?
Iyo ni idadi kubw san kw udog wa eneo la znz ule utemi aliofanya jiwe Tanganyika na ukubwa wote uwo iliambulia mbunge 1 tu 😀unaelewa kuwa uchaguzi wa nyuma yake kwa wakati huo wakiwa CUF walishinda majimbo 25? sasa hayo mawil ndio nini mkuu
CHADEMA wamezingua kususia uchaguzi ccm sio wa kuwasusia ulaji
ACT ambao kuna serikali ya umoja wa kitaifa walisusia na hakuna kilichobadilika
Ata uko tanganyika ndo kama tunavyoona Chauma wamewezeshwa kuhalalisha uchaguzi na utafanyika
Baada ya apo chadema watakua na ajenda gan au ndo watasubir miaka 5 mengine mbele 2030?
Wewe hauwezi kujua mitandao ya kimafia inavyofanya kazi.
Endelea na ubishi sasa.
Kwani vyama vya upinzani wanashindwaje kuweka majasusi ndani ya ccm kukiangushakama suala la kujaa mapandikizi CHadema nao tuwaweke kundi gani? kwa miaka mingi ndani ya Chadema namo tumeshuhudia mapandikizi ya ccm tofauti.
Kwani vyama vya upinzani wanashindwaje kuweka majasusi ndani ya ccm kukiangusha
Kwani amekufa?kwahiyo kuwa ilianzishwa kwa msaada wa Kikwete kuna ushahidi gani kuwa mpaka leo anaiendesh
Hivi mke wake ni RC wa wapi tena?Wakuu,