GE2025 Othman Masoud: ACT Wazalendo kuwa project ya CCM labda ilikuwa Behind The Scene. Sikukuta hata harufu ya hilo jambo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu ni maoni yako na mtazamo wako, una jingine???
 
Hayupo kwenye meza ya chakula kwa maamuzi yake binafsi , sasa anapata faida gani na umaarufu gani unadhani polepole anautaka ambao alikuwa hana?
 
Mkuu sio lazima!
Mwanasheria mkuu ni lazima, Security clearance level yake inatakiwa kuwa juu sana level ya sensitive Compartmented Information (SCI) sasa utampata wapi raia mwenye hiyo clearance?
 
Hayupo kwenye meza ya chakula kwa maamuzi yake binafsi , sasa anapata faida gani na umaarufu gani unadhani polepole anautaka ambao alikuwa hana?
Jifunze kusoma na kuelewa sio kusoma na kujibu kiongozi.

Polepole hana impact yoyote ile zaidi ya kuwa kama debe tupu.Mange kimambi ana athari zaidi kwa maneno yake kuliko polepole.

Ila kwasababu tupo dunia ambayo bendera ni wengi acha ngoma iende.

Huyu Polepole anawapotezea watu ajenda yao ya NO REFORMS NO ELECTION ila hadi ukiwa na akili ndio utaelewa hilo.

Sasa hivi maneno ya polepole ni maarufu kuliko kesi ya Lissu hilo ndilo analotaka anaifanya kazi maalum kwa akili kubwa sana.

Sasa hivi kampeni ya NRNE haina nguvu zaidi ya maneno ya Polepole.

Endeleeni kujaa kwenye mfumo mkijakushituka Raisi anaapishwa.

Muenendo wa kesi ya Lissu ulikuwa mgumu sana kwa watesi wake kwahiyo kete zinasukumwa kwa akili mingi sana.

Wanajitokeza watu kama wapambanaji lakini nyuma ya pazia wanasaidia malengo makuu ya Chama.Kile chama sio dhaifu kama wengi wanavyojidanganya wana mbinu kedekede.
 
Jifunze kusoma na kuelewa sio kusoma na kujibu kiongozi.
Hivi unajua alichokifanya Polepole ile tu kuzungumza angekuwa raia mtumishi wa umma ni jela miaka 20 , kwa kazi aliyokuwa nayo ni sawa na ku-saini hati ya kifo chake , hataachwa mabadiliko yafanyike ama yasifanyike teyari , ataishi kama panya maisha yake yote, unadai hili jambo ni kuvunja mjadala ya Lissu ,kesi ya Lissu inasikilizwa na wanachama wa Chadema hawana la kufanya zaidi ya kusubiri mwenendo wa mashtaka utakavyoamuliwa na serikali na kama umesikiliza Polepole amesema Tundu Lissu aachiwe sasa anaua mjadala gani hapo nyie shida mnapenda kufuatilia mada za udaku .
 
Wazee hata CDM ni project.

Safarini Khartoum Sudani.
 
Act wazalendo inaweza kuwa ni kwel ni project ya ccm ila iyo ni kwa upande wa tanganyika sio Zanzibar

itakuaje project kwa Tanganyika wakati mwenyekiti wa ACT tanzania nzima ndio huyo huyo? Binfasi siwezi amini sehemu amabyo yupo mtu kama Ismail Jussa alafu eti wawe project ya CCM. ni propaganda uchwara tu kutoka kwa chadema.
Unakumba kipindi wanainadi CUF ni CCM B? na baadae wakaja wakaungana nao kwa Ukawa. kama CUF ilikuwa ni kweli CCM b ilikuwaje hata wakaungana nao?
 
Ni kukidhibiti kisikengeuke. Kwani hata chadema nayo si ilikuwa project. Ikakomaa wamejisafisha sasa imekuwa threat.

Walishaona hilo hivyo ni kudhibiti tu, huwezi kukiua chama kwa kukiimarisha chama kingine.
 
Kama anakanusha badala ya kuchunguza na kufuatilia, basiyeye mwenyewe Othman ni project na pandikizi lemyewe lililounganishwa kutoka Ccm.
Ref to: Lyatonga Mrema (Rip) and the like!
 
Wewe hauwezi kujua mitandao ya kimafia inavyofanya kazi.

Endelea na ubishi sasa.
 
unaelewa kuwa uchaguzi wa nyuma yake kwa wakati huo wakiwa CUF walishinda majimbo 25? sasa hayo mawil ndio nini mkuu
Iyo ni idadi kubw san kw udog wa eneo la znz ule utemi aliofanya jiwe Tanganyika na ukubwa wote uwo iliambulia mbunge 1 tu 😀
 
CHADEMA wamezingua kususia uchaguzi ccm sio wa kuwasusia ulaji

ACT znz ambao kuna serikali ya umoja wa kitaifa walisusia na hakuna kilichobadilika

Ata kwa upande wa tanganyika ndo kama tunavyoona Chauma wamewezeshwa kuhalalisha uchaguzi na utafanyika

Baada ya apo chadema watakua na ajenda gan au ndo watasubir miaka 5 mengine mbele 2030?
 

MKuu kwa kweli kupambana na CCM sio ishu nyepesi jamaa ni washenzi sana, ila hata mimi naamini option ya kususia moja kwa moja haikuwa ishu sahihi kwa ustawi wa chama.
 
kama suala la kujaa mapandikizi CHadema nao tuwaweke kundi gani? kwa miaka mingi ndani ya Chadema namo tumeshuhudia mapandikizi ya ccm tofauti.
Kwani vyama vya upinzani wanashindwaje kuweka majasusi ndani ya ccm kukiangusha
 
Kwani vyama vya upinzani wanashindwaje kuweka majasusi ndani ya ccm kukiangusha

hilo ndio moja ya tatizo la upinzani hapa nchini, vyama vya upinzani vinaishi kwa ku defend mashambulizi ya CCM tu. wakati na wao walitakiwa wawe wanawashambulia.
 
Hivi mke wake ni RC wa wapi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…