PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, Jumamosi Oktoba 11,2025 katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyikwa uwanja wa Kivumbi Jimbo la Amani, Mkoa wa Mjini Magharibi ameonya kwa kusema "Hatuwezi kukubali kupata rais wa nchi yetu kwa njia za kihuni"
Soma > Othman Masoud: Viongozi wapimwe kwa wanavyojali wananchi
Soma > Othman Masoud: Viongozi wapimwe kwa wanavyojali wananchi