Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kawe mwanachama wa ACT mkuu. Kachukue kadi ili ukapeleke userious kwenye hicho chamaHawa ACT nao hawako serious.
Chekeni na nyani muone kama mtavuna mahindi!Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo.
Othman ambae pia ndie Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar ameyasema hayo kwa nyakati totauti wakati akiendelea na ziara ya umarishaji wa Chama Mkoa wa kusini Unguja leo April 12 baada ya kukamilika kwa ziara kama hiyo kisiwani Pemba.
Amesema wakati wanatafuta suluhisho la changamoto za kisiasa Zanzibar walikutana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kukubaliana kwa pamoja mambo kadhaa ambayo yangekua muarubaini na kumaliza kabisa kilio cha muda mrefu kila ufanyikapo uchaguzi mkuu.
"Cha kushangaza zilipoundwa timu za utekelezaji wa maagizo wenzetu wakageuka kuja na mengine mapya wakati hakua muda wa majadiliano tena.
View attachment 3301391View attachment 3301394
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman alipowasili Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja katika mwendelezo wa ziara yake ya ukaguzi wa Chama kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu. Ziara hii ilianzia kisiwani Pemba na inatarajiwa kufikia tamati hapo kesho.
View attachment 3301395
Hawa ni wajanja sana. Wanacheza na akili za wananchi wanaowaunga mkono ili wasiwashtukie. Nna uhakika uchaguzi mkuu ukifika, CCM itawaachia majimbo kadhaa washinde, hasa ya Pemba, lakini watahakikisha hawatapata wingi wa viti vya ubunge, uwakilishi wala kiti cha rais. Halafu watajifanya kususa lakini baadae wataunda tena serikali ya umoja wa kitaifa na huyu Masoud atapewa tena msafara wenye king'ora. Mchezo utakuwa umeisha mpaka 2030. Kwa kifupi Maalim Seif aliondoka na upinzani ha Zanzibar ya sasa ina partners wa CCM, wa kutumbua raha.Hawa nao waache kutuchezeshea shere. Maneno kibaooo alafu leo wanasaini kanuni za uchaguzi
Pathetic
Nchi yeyote inatakiwa kuwa upinzani ili ku-create check and balance. Kuwa na upinzani bandia ni anguko la nchi. Mwananchi mwenye busara hata kama hana chama, au chama chake ndicho kinashika madaraka, atataka kuwe na upinzani wa kweli.Kawe mwanachama wa ACT mkuu. Kachukue kadi ili ukapeleke userious kwenye hicho chama
kiburi na majivuno yanamponza huyu muungwana ambae ni wazi anakwenda kuipoteza act kwenye medani ya siasa 🐒Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo.