Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
CCM watatukwamisha tena kwa kushikilia msimamo wa serikali 2Bora wajitenge tuu...
IGA imetamka wazi kwamba itaendelea kuheshimika milele iwe Serikali ya chama kingine cha siasa au hata jina la nchi libadilike. Hiyo Tanganyika yako unayotaka kudai itakusaidia nini wakati Mbarawa na timu yake ya Wazanzibari washatufix?Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Mwambie mzee Wasira alichofanya huko Mwanza hakikubaliki. Hotuba nzima anasema Konyagi ni mbaya. Kwa kweli ametukwaza sana wapenzi wa Konyagi.😂😂😂🔥🔥
Wanataka kuhamisha goliIssue ya Bandari itaenda sambamba na katiba. Hakuna kupoa.
Katiba Sitta na Samia hafia. Mchakato uanzie kwenye Rasimu ya Judge Waryoba!Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Ndoto za alinachaMhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Hamna namna zaidi ya kuuvunja. Ni bora mwarabu atushtaki kwa kuvunja legitimate expectations kuliko kusubiri adai fidia ya uwekezaji wake.IGA imetamka wazi kwamba itaendelea kuheshimika milele iwe Serikali ya chama kingine cha siasa au hata jina la nchi libadilike. Hiyo Tanganyika yako unayotaka kudai itakusaidia nini wakati Mbarawa na timu yake ya Wazanzibari washatufix?
Mwinyi amedhamiria awe Rais Kamili sio wa sweta la muungano.Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.
Tunapiga kote kote.Issue ya Bandari itaenda sambamba na katiba. Hakuna kupoa.
Duh...!. huyu jamaa...Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
Hili ni swali la Kumuuliza kila Mpinga Katiba Mpya.Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
Unambishia Makamu wa kwanza wa Rais? Hivi akili za kiccm zimechoka kiasi hiki? Kati yake na wewe ni nani ana taarifa za ndani zaidi?Ndoto za alinacha
Ikiwa Wazanzibari (najua sio wengi) watataka wajitenge, ni Wazanzibari wenyewe ndio watakaopata hasara. Wabara wengi wanawachochea sana Wazanzibari wajitenge kumbe hawawapendi wakinung'unika kuwa Wazanzibari wanawanyonya! Zanzibar shauri yenu!!!Mhe Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023. Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha watamuuliza 'wewe mwenzetu mbegu ya Kongo au ya Burundi?'
My take: wazanzibar wanajipanga kudai nchi yao sisi tunalumbana kuhusu bandari za Tanganyika, tunaingia bunge la katiba bila msimamo wa pamoja. Twendeni tukadai Tanganyika yenye mamlaka kamili.