Sina hakika kama wewe ni Mzanzibari.
AMKENI MLIO LALA USINGIZI WA PONO.
Kabari iliopigwa Zanzibar si ndogo, nzito mikono mitatu
yenye nguvu imeielemea nchi yetu.
Tulikwsha tambuwa kwam-
ba Nyerere pamoja na nchi
za Ulaya kwa kushirikiana na Marekani na Kanisa na-
mna walivyo jenga ushiriki-
ano wa pamoja na kutenge-
neza mipango ya kuidhibiti
Zanzibar. Haya yamefanyika
chini ya khofu za kila mmoja wao kuiogopa Zanzibar.
Nyerere aliona Zanzibar ingalimpa taabu sana siku
za usoni kwa ukaribu wake
na Tanganyika kwa hivyo ni
Lazima aidhibiti.
Ulimwengu wa nchi za Magharibi wao walichelea
Ukoministi kusambaa Barani Afrika kutokea Zanzibar na ingeliweza kuharibu maslahi yao na Zanzibar ingalikuwa CUba
ya Afrika kwa hivyo lazima
waidhibiti.
Kanisa nalo lilihofia kwamba Uislamu utazudi
kusambaa hasa Afrika ya
Mashariki kutokea Zanzibar
kwa hivyo lazima idhibitiwe.
Kwa hivyo wote hao kwa
Pamoja wakatengeneza
Mkakati wa kuidhibiti Zanzibar isifurukute ndio
Wakatengeneza dubwana
hili lililo pewa jina la "MUUNGANO" na kwa mashirikiano yao wote watatu wakajiridhisha kwamba ukiwepo Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar hofu zao wote watatu zitaondoka maana watafa-. nya kazi kwa mashirikiano
ili waweze kuidhibiti Zanzibar.
Na ndio hata ule mkutano
Wa Berlin walipogawana
Bara la Afrika moja katika
kanuni za kikao hicho ni
ile Ibara ya V ya makubaliano yao inayoagiza kuwa :
"Dola zote za kikoloni zito-
we hifadhi maalumu kwa
Makanisa ya Kikristo".
Na Waingereza nao wana-
sema : Haitokuwa kua kwa
maslahi ya Uingereza iwapo
Waislamu watapata wafuasi wengi.
Kisha watu wa Ulaya wana-
sema :Waarabu wameleta
vitu viwili vibaya Afrika. Uislamu na Utumwa.
Na Nyerere akasema:
Zanzibar ikiwachiwa kuwa
huru itakuwa ni mlango wa
kuingiza Ubeberu wa kiarabu na Kiislamu.
Na usemi huo huo ndio alioutumia Lukuvi kanisani
na kuwaambia "Mnataka kuwaachia Wazanzibari wajitawale?. Maneno hayo ndio funga kazi ya kwamba
Hata siku moja ismu ya
Mzanzibari asipewe nafasi
ya kutawala. Hizi kelele zote hivi sasa zinazopigwa
na Maaskofu na Mapadri na
Wanasiasa wa kikristo dhidi ya Rais Samia msingi wake
Ni huu nilioueleza ndani ya
Makala hii fupi. Bado mtaona mengi yakiibuliwa kila siku ya Mungu. Wao ugomvi wao Mzanzibari asitawale ila Rehma na uwezo wake Mwenyezi Mungu ndio uliopita mbele ya macho yao na nyoyoni
mwao kwamba Mzanzibar ametawala tena mwanamke. Ndio yanayo wakereketa ndani ya nyoyo zao. KAZI YA MUNGU.