Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala.

Soma:

==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari!
==> Othman Masoud Othman amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki
 
Back
Top Bottom