Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Oct 2, 2024 #1 Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Your browser is not able to display this video. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari! ==> Othman Masoud Othman amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Your browser is not able to display this video. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari! ==> Othman Masoud Othman amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki