PostGE2025 Othuman Masoud: Mbunge alitangazwa na kupewa cheti cha ushindi, akanyang’anywa akapewa mwingine na yuko Bungeni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi

Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.

CCM wanaipeleka hii nchi kuzimu. Ipo siku Mungu ataingilia kati.
 
CCM ndivyo walivyo yaani wanawachapeni ukifika uchaguzi na hakuna kitu utawafanya kisha wanakuita mezani na danganya toto yao ya maridhiano tapeli wakubwa hao hawajawahi kuwa na jema kamwe tuliona enzi za CUF sahv ACT. Kamwe hawajawahi kuacha uhuni wao hivyo sio wema watajiongelesha maridhiano na taka taka nyinginezo lakini hawana jema kamwe.​
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi

Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.

..CCM wanapenda watu kama Othman Masoud ambao ni watulivu, wanyenyekevu, na wa baridi, wanapodhulumiwa na kunyanyaswa.
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi

Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.

Mazafaka anatuambia sisi ili iweje? ACT si wameamua kufanya maridhiano ya kugawana vyeo kila election cycle?
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi

Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.

Wanafiki wakubwa nyie ,mbona mlikua ikulu watu wakiapishana ? Juz juz mkakaa mezan moja Kwan hamkumaliza huko au matonge mliokua nayo mdomon mmeshameza tayar mna uhuru wa kubwabwanya?
 
Back
Top Bottom