Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ACT wanachotaka ni fedha tu. Hawako kwa ajili ya wananchi. Ni sawa na ilivyokuwa CHADEMA ya MboweNinyi ACT sijui lini AKILI zitawakaa sawa
CCM wanaipeleka hii nchi kuzimu. Ipo siku Mungu ataingilia kati.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.
Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi
Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.
Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi
Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.
Mazafaka anatuambia sisi ili iweje? ACT si wameamua kufanya maridhiano ya kugawana vyeo kila election cycle?Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.
Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi
Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.
Wanafiki wakubwa nyie ,mbona mlikua ikulu watu wakiapishana ? Juz juz mkakaa mezan moja Kwan hamkumaliza huko au matonge mliokua nayo mdomon mmeshameza tayar mna uhuru wa kubwabwanya?Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama chake, ACT-Wazalendo, kiliwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Uchaguzi.
Soma pia >> Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi
Othuman amesema moja ya matukio yanayoonyesha mazingira ya uchaguzi huo ni kuwepo kwa majimbo ya Pemba ambayo mwakilishi alitoka ACT-Wazalendo huku mbunge akiwa wa CCM. Amesema katika baadhi ya maeneo, mbunge alikuwa tayari ametangazwa mshindi na kupewa cheti cha ushindi, lakini baadaye cheti hicho kilichukuliwa na mtu mwingine kutangazwa mshindi, huku aliyepewa ushindi wa awali akibaki nje na mwingine kuendelea na shughuli za Bunge.
Ninyi ACT sijui lini AKILI zitawakaa sawa