Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Wewe ndio unamshangaa leo huyo guluguja?. Tulishamjua long time kwamba ni mnazi wa kufa wa simba. Baada ya kumjua tu unazi wake wa wazi,huwa sisikilizagi uchambuzi wake,unaoegemea upande. Ni mnafiki hamna uchambuzi pale matakataka tuNimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Kama mimi sitaki hata kumuonaWewe ndio unamshangaa leo huyo guluguja?. Tulishamjua long time kwamba ni mnazi wa kufa wa simba. Baada ya kumjua tu unazi wake wa wazi,huwa sisikilizagi uchambuzi wake,unaoegemea upande. Ni mnafiki hamna uchambuzi pale matakataka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema ile ni penati halali kwa sababu zipi?Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Uyo Othumaan ni mbumbumbu tangu alivyokuwa refa wala usiangaike nae, mimi hata kipindi chake siangaaliagiNimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Amejitahidi kuwabeba kwa kuwapa penatiSASA Mazingira Yale mumlaumu Yondani nna siyo refa.....refa wa Leo amejitahidi sanna SAANA
msijisahaulishe Mwaka Jana Mlifungwa gori refa akasaema offside lakini Video zilikataa haikuwa. offside zoeeni tu kwenu hapa 2-2 mmeonna mmeshinda
Tunashangiliaa sabaabu mmebebwa na tukaarudisha goli zotemsijisahaulishe Mwaka Jana Mlifungwa gori refa akasaema offside lakini Video zilikataa haikuwa. offside zoeeni tu kwenu hapa 2-2 mmeonna mmeshinda
Tatizo la Yanga mliingia uwanjani na matokeo mambo yamesanuka mnamsingizia RefaTunashangiliaa sabaabu mmebebwa na tukaarudisha goli zote
#Comeback
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mbumbumbu mliingia na hirizi pamoja na kumnunua refaaTatizo la Yanga mliingia uwanjani na matokeo mambo yamesanuka mnamsingizia Refa
Sent using Jamii Forums mobile app