OThumani Kadhi achana na uchambuzi wa majukwaani

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
 
Una beji ya FIFA ya urefa kama yeye au kuleta tu ujuaji na kupinga vitu,othaman huwa kwenye kuchambua kwa kutumia picha ya video anasema ukweli,anakuwekea video na anakueleza kwanini inastahili iwe foul au penati
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unamshangaa leo huyo guluguja?. Tulishamjua long time kwamba ni mnazi wa kufa wa simba. Baada ya kumjua tu unazi wake wa wazi,huwa sisikilizagi uchambuzi wake,unaoegemea upande. Ni mnafiki hamna uchambuzi pale matakataka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Amesema ile ni penati halali kwa sababu zipi?
 
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty

SASA Mazingira Yale mumlaumu Yondani nna siyo refa.....refa wa Leo amejitahidi sanna SAANA
 
Nimeshangaa sana anadai penati ya simba ilikuwa halali hata mtoto wa darasa la Kwanza asingesema kuwa ile ni penart kama una unazi achana na unazi binafsi nakiheshimu sikuheshimu tena kwenye uchambuzi lakini jitathimini kama ulikuwa unaficha uovu/makosa ya huyo mama Jenesia acha kabisa picha zipo clear no penalty
Uyo Othumaan ni mbumbumbu tangu alivyokuwa refa wala usiangaike nae, mimi hata kipindi chake siangaaliagi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ni wapumbafu kabisa yaani bila mssaada wa refa au kununua mechi ushindi hakuna na hali wana uwekezaji mnono wa bil20 ila wanashindwa kucheza mpira......
 
Back
Top Bottom