Otile ameangusha nyingine bonge la

I hope it's trending. Lemmy go and watch it again. Hiyo takataka inayoitwa katika lazima itoke kwa trending list
Katika ni ngoma gani by the way, nani ameimba,niendee nisearch. Siko updated
 
Tanzania ni ya pili afrika kwa mziki litambulike hilo.Kenya hamna mtu anayejua kuimba ukweli ndio huo...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ju ya watu wawili. Sasa wakikufa mtafanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania ni ya pili afrika kwa mziki litambulike hilo.Kenya hamna mtu anayejua kuimba ukweli ndio huo...
 
Sauti nzuri ila hii nyimbo ya kawaida sana Otile azidi kukaza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ju ya watu wawili. Sasa wakikufa mtafanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
 
Wyre ndio kusema, but it all depends with your genre. Wabongo lazima waskie uswahili kwa ngoma zao ndio wafurahi.View attachment 902520
Wyre the finest.. Namkubali kitambo

Ila huyo otille anaweza kuwa talented kwa level za Kenya ila akija bongo..he is just an ordinary musician ambae haez ingia A list ... He sounds bongo kwa hiyo comparison yangu ipo vyema tu

Wimbo mmoja tu naweza kuuskiza na tena ni kwa sababu ya sanaipei .... the rest kwangu ni unknown
 
Otile ha sound bongo..jamaa anaimba kimombasani
 
Otile ha sound bongo..jamaa anaimba kimombasani
Kimombasani [emoji53][emoji53][emoji53] ni aina ya muziki au....

Huyo anaimba bongo flava yaani chukua nyimbo za bongo flava pure afu msikilize anachokiimba..just the same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…