Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hope it's trending. Lemmy go and watch it again. Hiyo takataka inayoitwa katika lazima itoke kwa trending listThis boy is going far. Kenyans should boycott bongo flavour and support this one to the fullest. He's talented
I hope it's trending. Lemmy go and watch it again. Hiyo takataka inayoitwa katika lazima itoke kwa trending list
Navy kenzo ft wasafiKatika ni ngoma gani by the way, nani ameimba,niendee nisearch. Siko updated
Katikaaaa eh,katikaaaa.
Katika bidada katika.[emoji28][emoji28]
Mkenya pekee anayejua kuimba..
Tanzania ni ya pili afrika kwa mziki litambulike hilo.Kenya hamna mtu anayejua kuimba ukweli ndio huo...
😂😂😂😂hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ju ya watu wawili. Sasa wakikufa mtafanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wyre the finest.. Namkubali kitamboWyre ndio kusema, but it all depends with your genre. Wabongo lazima waskie uswahili kwa ngoma zao ndio wafurahi.View attachment 902520
Kweli man...wasafi tu..na ni diamond na harmonize tu...wengine wote wanaimba ni sawa na local tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ju ya watu wawili. Sasa wakikufa mtafanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Otile ha sound bongo..jamaa anaimba kimombasaniWyre the finest.. Namkubali kitambo
Ila huyo otille anaweza kuwa talented kwa level za Kenya ila akija bongo..he is just an ordinary musician ambae haez ingia A list ... He sounds bongo kwa hiyo comparison yangu ipo vyema tu
Wimbo mmoja tu naweza kuuskiza na tena ni kwa sababu ya sanaipei .... the rest kwangu ni unknown
Kimombasani [emoji53][emoji53][emoji53] ni aina ya muziki au....Otile ha sound bongo..jamaa anaimba kimombasani