Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hekaheka za Uchukuaji Fomu katika maeneo mbalimbali zinaendelea ambapo Mkoani Geita katika Jimbo la Geita Mjini Emmanuel Otto Ikolongo kupitia chama cha ACT wazalendo amechukua Fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge huku akitoa vipaumbele mbalimbali.
Ikolongo ambaye Ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo Taifa akitokea mkoa wa Geita, amesema lengo la kuchukua fomu ni kwenda kuwaunganisha watu wa makundi malimbali na kutetea masilahi ya kila Mwananchi kutoka katika Jimbo la Geita Mjini.
Pia soma: