Our beloved late President Magufuli: Was he a science denier or a threat to the Empire?

Kupingana na mabeberu na kutishia maslahi yao inabidi uwe smart Sana kichwani.
Kuna watu walipingana na mabeberu na wakastaafu na wakaja kufa vifo vya kawaida tu.ukipingana na mabeberu halafu wakala kichwa basi ujue au watu watakaobaki wajue kuwa ulikua mtupu na mkurupukaji tu.
Nyerere aliwapinga mabeberu wale wakali kabisa enzi hizo hakuruhusu wachimbe hata punje moja ya baadhi ya madini,lakini alikua anazunguka dunia nzima na anaenda kwa mabeberu na anakunywa nao chai.
Ukiona wamekula kichwa Kama kweli basi mjue huyo waliomla kichwa Ni mweupe tu kichwani.
Hakuna kitu kilikua kigumu Kama kuwafukuza wakoloni,Tena wanafungasha kabisa Kila kilicho chao na wanaondoka huku wakijua wameacha madini yote muhimu hapa duniani.
 
Nafikiri nyerere alikua na wazungu wema nyuma ya mgongo wake wanao msupport. Kumbuka nyerere pia amesoma nao huko london. Edernburg miaka 4, amewajua vizuri tabia na isitoshe alipata na marafiki wema.
 
uko so defensive and so emotional kwa simple facts.
sijasema unadanganya au ku fabricate stories?
naelewa nn unafanya.

and sijakwambia utetee mabeberu, nope.
binafsi i dont like them.
Unapoanzisha mada kama hizi weka emotion pembeni, weka logic kati. na facts.

isitoshe unaniweka kwenye kundi "mnao tetea".
nimesha state hapo nyuma.. kwamba siko upande wowot ule, sina interest,na siko kundi fulani.

again unataka kuwa expose mabeberu.. its a good things kwani tumeonewa muda mrefu.
But uwe unakuja na facts na concrete evidences.

Random theory kama hiz huwa zinaishia humu humu and no body care sababu zimefanana na za wengine huko online.
be different,ukifanikiwa kupata evidence watu watakuwa interested zaid. hata wahusila watashtuka.
si lazima upate whole evidence, nope.. hata asilimia chache.
theory without evidence itakuwa empty story.
 
Duh. Bro mbona kwa hasira sana. [emoji3]
 
Upo ukweli fulani kidogo katika comment yako,lakini kujua the real story,ni lazima ujue Nyerere alikuwa nani hasa.Nyerere alikuwa mtu wao,Magufuli hakuwa mtu wao!Nani alijua kwamba Nelson Mandela alikuwa mtu wao,very few.

Sitapenda kuingia ndani sana katika hili,ila naomba nikupe picha hii.
👇
Nyerere alisomea degree yake Edinburgh University.Unajua ni akina nani wana own Edinburgh University, Freemasons.Unajua ni akina nani walimsaidia Nyerere kwenda United Nations,the Catholic Church.Do you really know what the Catholic Church is,it is an Illuminati establishment in disguise.

Do you know what African Socialism,Soviet Socialism,Communism and Capitalism were?Illuminati Research Projects for identifying a suitable government system to be used in the future One World Government.

And do you know what they have identified as their best system?They have identified Communism as the best system, that is why you see China flourishing. They are now just putting some final touches on the system.

Do you know why in China CV19 disappeared without a vaccine and why a vaccine is necessary for the rest of the World???

The answer is simple, because China is already a communist country and is already where the Elite,the NWO or the Big Brother want the rest of the World to be.On the other hand the rest of the World has still to be molded to attain the stage they want for the One World Government and hence the need for a tool like Covid-19. Wow,how smart of them.

I believe with this background information,I do not have to tell you who Nyerere was,but if you are sensible enough,you should know who he was.

Cheers,continue brainstorming.
 
Mwanzoni mwa uzi ulionekana mwenye akili na mstaarabu. I was wrong kuwaza hivyo

Itoshe tu kusema kwamba wewe ni kenge
Kwa nini mimi ni kenge na sio mstaarabu?
 
Hii nchi yetu imejengwa kwenye misingi ya utegemezi. Na hili limeanzia kwenye mfumo wa elimu, afya n.k
So hata tukiwalaumu, kuwachukia na kuwabeza ila bado tutaendelea kuwategemea.
 
Hii nchi yetu imejengwa kwenye misingi ya utegemezi. Na hili limeanzia kwenye mfumo wa elimu, afya n.k
So hata tukiwalaumu, kuwachukia na kuwabeza ila bado tutaendelea kuwategemea.
Wasipofanya sabotage tutafika mahali hatutawategemea.Lazima ifike mahali ninyi vijana muamini kwamba we can without them,we are extremely rich.Tunaomba mjue kwamba utajiri wanaonekana wanao si wao,wametuibia.

Mawazo haya kwamba sisi ni maskini na tutaendelea kuwategemea wameya-impose on us na lazima tuyakatae.
 
Nyerere hakuwa mtu wa ye yote ila opinion makers wa upande wa Magharibi wakati huo waliona Nyerere ni afadhali kuliko watu mbadala wa wakati huo. Lakini ni kweli Nyerere alikuwa msomi mwenye hekima aliyejua dunia inaendeshwa na nani na pia na nini. Pia alikuwa na mtandao wa marafiki wa kweli sehemu zote muhimu duniani.Alifuatilia yanayotokea duniani daily. Kissinger alipozungumza na Nyerere ana kea ana alishangaa kukutana na mtu mwelewa kiasi hicho cha Nyerere! Kama hufahamu jambo usilisemee tafadhali.
 
"Kama hufahamu jambo usilisemee tafadhali." Hapa anaambiwa nani mkuu?

Anyway,comment yako inaonyesha kwamba you do not know the real Nyerere.Hata hivyo tuishie hapo.
 
Umeuliza swali zuri nakushukuru. Hapa anayeambiwa kuwa hafahamu ni yule anayetueleza kuwa Nyerere kilikuwa kifaa cha Mabeberu! Mabeberu wanamlaani Nyerere mpaka kesho! Aliwazidi akili ila Mabeberu wanashinda kwa sababu watu kama Nyerere katika fani mbali mbali si wengi nje ya nchi za Magharibi.
 
Duh nimekuelewa sanaa.na kwa mtizamo wangu umesema ukweli mwingi.na pia kwa mtizamo wangu lissu ni kibaraka wa mabeberu na nafikiria hata huyu masudi kipanya nae ni wale wale.ameisimanga sana serikali ya jpm na ukwel wa mambo ni kua serikali ya jpm imetenda mambo mengi makubwa na yenye maslahi kwa taiga kwa muda mfupi.regime change!!!!mtoa mada nimekuelew???na yote hii ni kwa ajili ya kesho haya mataifa makubwa hayaaaaa.regime change????dah Tanzania yangu jamani.ndo maana watanzania wengi tumeumia kuondoka jpm.kesho ya Tanzania sijui itakuaje na ndo ishakua regime change.
 
Hivi mkuu unajua kwamba Lenin,Mao Tse Tung,Mikhail Gorbachev na Nelson Mandela vilikuwa vifaa vya mabeberu?Mkuu Mikhail Gorbachev yuko wapi leo,si yuko Marekani NWO wamempa Foundation ya kuendeleza harakati za kuleta the One World Government.Foundation hiyo inayoitwa The International Foundation for Socio-Economic and Political Studies (The Gorbachev Foundation) ilianzishwa December 1991 na ikaanza kazi January1992.

Serikali moja ya dunia inapigiwa upatu sana na the World Economic Forum Elite wakiongozwa na Klaus Schwab.

Mkuu watu ni lazima tuweze ku-connect the dots and be able to read between the lines,vinginevyo tutaingizwa mkenge sana.The New World Order Elite ni very smart,wametuletea sana Mbuzi kwenye magunia,na wanaendelea kufanya hivyo.Hivi mkuu unajua kwamba Covid-19 ni mbuzi kwenye gunia?
 
Unafikiri vijana wa kiTanzania wameundiwa mindset ya kufikiri zaidi ya wazungu?
 
Unafikiri vijana wa kiTanzania wameundiwa mindset ya kufikiri zaidi ya wazungu?
Naamini they are equal to Wazungu or even better.Mkuu hivi unafikiri kwa nini gari leusi linauzwa bei kubwa sana Ulaya?Because black is good!Hiyo ikupe picha of who we are.
 
Naamini they are equal to Wazungu or even better.Mkuu hivi unafikiri kwa nini gari leusi linauzwa bei kubwa sana Ulaya?Because black is good!Hiyo ikupe picha of we are.
Tusiongelee materials thing.
If we're smart than them or equal then why we are poor? Why we don't invented like them? Why we use 99% of the things from them? What the problem with us?
 
Bl
Naamini they are equal to Wazungu or even better.Mkuu hivi unafikiri kwa nini gari leusi linauzwa bei kubwa sana Ulaya?Because black is good!Hiyo ikupe picha of who we are.
BTW black is absence of light
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…