Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Hii barabara ni nzuri,Tanzania barabara nyingi ni nzuri,na zina alama za barabarani.Tatizo hapa ni mwendokasi au gari ilifanya hitilafu fulani.Chombo cha moto,si cha kuamini moja kwa moja,wakati wowote,kinaweza kuleta tabu.