K Kikwajuni One JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 13,149 Reaction score 6,994 May 8, 2017 #41 Hii barabara ni nzuri,Tanzania barabara nyingi ni nzuri,na zina alama za barabarani.Tatizo hapa ni mwendokasi au gari ilifanya hitilafu fulani.Chombo cha moto,si cha kuamini moja kwa moja,wakati wowote,kinaweza kuleta tabu.
Hii barabara ni nzuri,Tanzania barabara nyingi ni nzuri,na zina alama za barabarani.Tatizo hapa ni mwendokasi au gari ilifanya hitilafu fulani.Chombo cha moto,si cha kuamini moja kwa moja,wakati wowote,kinaweza kuleta tabu.