Our eternal ambassadors


Nafikiri swala siyo kwa mabalozi wenyewe ila wale wanaoitwa maofisa wa ubalozi; hawa ndio wanaokaa muda mrefu sana.
 

kweli ni jukumu la serikali kuwakwamua raia wake wanapokwama nje ya nchi lakini kukwama huko inabidi kuelezeka na kwa bahati mbaya kutokana na hali ya kiuchumi balozi hazina fungu maalum kwa ajili ya huduma hiyo. hivyo mtu akikwama ubalozi unaweza msaidia kwa kuwasiliana na ndugu zake wamtumie pesa au kuomba pesa makao makuu kwa ajili ya kumkwamua raia huyo. swali wakati msaada huo unangojewa huyo raia anaishije? hapo ndo wanajitokeza raia wema kama fmes au maafisa wa ubalozi na kutoa msaada lakini utakuta raia aliyesaidiwa anaona ni haki yake kusaidiwa na wala hao waliomsaidia hawajatenda utu. hata akikopeshwa pesa harudishi sasa kwa kufanya hivyo ndo anakuwa kishawapaka shombo wengine watakao kwama
 
..by the way yuko Balozi.Maj.General Martin Mwakalindile. Nina imani ame-serve zaidi ya miaka 10. Huyu alikuwa Chief of Staff mara baada ya vita vya Kagera. Kama hajastaafu jeshi basi inakuwa vigumu sana kumrudisha nyumbani.

Mkuu Jokakuu ni Kweli Mzee Mwakalindile alikaa Ubalozi wetu Msumbiji kama Balozi kwa muda wa Miaka 15,aliteuliwa kuwa Balozi huko mara baada ya kuacha kazi ya Army Chief of Staff mwaka 1988 ambayo alikaa kwa miaka 6 (1982 - 1988).Major General Martin Mwakalindile alikuwa Balozi Msumbiji toka mwaka 1988 -2003 alipohamishiwa Rwanda ambako amekaa mpaka 2006 alipostaafu Utumishi serikalini/ Jeshini na kurudi kwao Mwakaleli- Rungwe.

Kabla ya kuwa Balozi huko Msumbiji,Maj Mwakalindile aliwahi kuwepo Msumbiji kabla ya Uhuru kwa maombi rasmi ya Hayati Machel,alikuwa ni mmoja wa Askari wetu waliofundisha viongozi wa jeshi la Frelimo,Baada ya uhuru wa Msumbiji 1975,Maj Mwakalindile alikuwa mmoja wa walioanzisha Ubalozi wetu huko Maputo akiwa kama Muambata wa kijeshi chini ya Balozi Marehemu Katikaza.
 
mwawado, asante kwa historia hiyo.. na pia jokakuu nashukuru.. maana kuna mambo mnayomwaga hapa hayamo vitabuni! kudos
 
Kumbe kuna aliyekaaa miaka 15. Adam kakosea wapi? kuna tofauti ya miaka 15 na 16 kweli jamani?, YES ipo, lakini ina worth kusema habari nzima haina maana?
 

U have said it all!

Asante sana, mengine ni uongo dhidi ya Adam.

Asante tena Mwalimu, ndio maana ukawa mwalimu. Hivi mwanafunzi wako NUNGWI amepotelea wapi?
 
I use to Trust Lusekelo sana na kwangu ni mmoja wa watu ambao nilikuwa napenda kusoma makala zao.
But i think on this one, Mr Lusekelo alitakiwa ku control Temper yake!!! Naona aliandika kwa ghadhabu either kuna kilichomtokea au kuna namna. Binafsi nashawishiki hata kudhani labda hii makala ilikuwa imemlenga mtu, unaposema....

"...As I said embassies are places for friends, embarrassing buddies, girlfriends and other unqualified guys...."

Umewakosea Waheshimiwa Mabalozi kwa kiasi fulani, any way sijui kila mmoja ana njia yake ya kuelewa jambo!!
 
Pope,

Kama unasoma makala zake, ndio njia yake ya kuwakilisha jambo. Ana jumuisha, hawi specific hata kidogo. Halengi mtu analenga watu. Kama mtu akitukana ma GAY wote wakati wewe umesimama ndani ya kundi la ma GAY, akasema nyinyi Ma GAY mnafanywa hivi au vile... UNAKASIRIKIA NINI WAKATI WEWE SIO Gay?
 
lakini mzuri kuliko wote kati ya mabalozi wetu wanawake ni bi Mwanaidi Mjaar, aliopo London..duh!
 
I have always admired Adam since my boyhood and even now I never miss his three times weekly articles in the Daily News(Weds),Sunday News and ThisDay.To understand his articles you must be aware that he tries to make it sound like a joke but there is seriousness underlying in the message.What he wanted to convey here was that the ambassadors stays just too long in their work stations unlike other countries.You can mirror this with ambassadors sent to TZ by other countries.They hardly stay more than 4 years.Trying yto judge his style of writting may not be appropriate unless you are the type of ambassador reffered here(no hard feeling)
 
Just like Muhidini Issa Michuzi, Lusekelo is another mediocre journalist from "DAILY NEWS" . His opinions are crap, absive rude, nasty sick and twisted of the first order.

But then again this idiot is just exercising his freedom of speech

You remind me of my Investigative Reporting class. We hated mediocre journalists. This was meant to be an investigative story. So Interview some credible sources,check and cross check facts,dig,find out information. Lecturing aside, but armchair journalism has made this guy write such big bluff! Did he attend some journalism class somewhere during his career?
 

He was also once a journalist.... remember!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…