Our Solar System

Our Solar System

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
A Our Solar System

a.( Planets circling the sun)
The Sun
1. Mercury
2. Venus
3. Earth
4. Mars
the asteroid belt
5. Jupiter
6. Saturn
7. Uranus
8. Neptune
Mpaka hapo nadhani tuko pamoja.

Pleiades Constellation
b(solar systems circling Alcione)
Alcione
1. Marope
2. Atlas
3. Maya
4. Electra
5. Te(y)geta
6. Coeleno
7. Our solar system( the solar system which contains earth).
Our solar system goes atounf Alcione(the central sun) once every 25,000 years.

Hii solar system yetu inaungana na solar system nyingine sita kuzunguka giant atar Alcione,ambayo ndiyo the Central Sun once every 24,000 years.

Halafu hizi constellations zinszunguka Great Central Sun,once every(about) 250,000,000 years.

Hiyo Great Central Sun ndio centre of the galaxy.

Kuhusu galaxy I don' t what happens. Maybe the galaxy go around another centre in the universe.
 
A Our Solar System
a.( Planets circling the sun)
The Sun
1.mercury
2.venus
3.earth
4.mars
the asteroid belt
5.jupiter
6saturn
7uranus
8neptune
Mpaka hapo nadhani tuko pamoja.

Pleiades Constellation
b(solar systems circling Alcione)
Alcione
1. marope
2.atlas
3.maya
4.electra
5.te(y)geta
6.coeleno
7.our solar system( the solar system which contains earth).
Our solar system goes atounf Alcione(the central sun) once every 25,000 years.
Hapo kwenye Neptune kuna dwarf planets mamia kama siyo maelfu. Zipo kwenye giza na ubaridi mkali.

Naomba kupata ufahamu wa Dark Matter na Dark Object
 
Nimemkumbuka Teacher Mosha kwenye Geography Ila wewe unafundisha kwa speed ya Jet wanafunzi tutakula Zero nyingi sana yaan sijaelewa plus mvurugano wa sentensi ndio nahisi kupewa kidumu cha ulanzi nitulize ubongo
 
Black Matter,Dark Holes,,visible daylight,the darkness,which actually is called invisible light; haya mambo wanaweza kuyazungumzia phycisists.
Mambo ya anti matter yaligunduliwa na Dr. Carl David Anderson. Ndiye aliyegundua anti particles,ambazo aliziita 'positrons'
Ndio hii discovery ndio inewezesha kutengeneza hydrogen bomb.
 
Ni Solar system saba zinazunguka giant sun Alcione. Solar System yetu ni ya saba. Hii ndio Pleiadean Constellation. Kwa hiyo sisi ni
Pleiadeans?
Na ile solar system moja for some reason instead Tegeta.
 
A Our Solar System

a.( Planets circling the sun)
The Sun
1. Mercury
2. Venus
3. Earth
4. Mars
the asteroid belt
5. Jupiter
6. Saturn
7. Uranus
8. Neptune
Mpaka hapo nadhani tuko pamoja.

Pleiades Constellation
b(solar systems circling Alcione)
Alcione
1. Marope
2. Atlas
3. Maya
4. Electra
5. Te(y)geta
6. Coeleno
7. Our solar system( the solar system which contains earth).
Our solar system goes atounf Alcione(the central sun) once every 25,000 years.

Hii solar system yetu inaungana na solar system nyingine sita kuzunguka giant atar Alcione,ambayo ndiyo the Central Sun once every 24,000 years.

Halafu hizi constellations zinszunguka Great Central Sun,once every(about) 250,000,000 years.

Hiyo Great Central Sun ndio centre of the galaxy.

Kuhusu galaxy I don' t what happens. Maybe the galaxy go around another centre in the universe.
Somo zuri sana hili weka na michoro yake kwa faida ya wengi
 
Ni Solar system saba zinazunguka giant sun Alcione. Solar System yetu ni ya saba. Hii ndio Pleiadean Constellation. Kwa hiyo sisi ni
Pleiadeans?
Na ile solar system moja for some reason instead Tegeta.
Hii taarifa yako haina mlingano na taarifa yeyote ile ya Ki Astronomy,

Kwanza ni makosa kusema solar system ziko saba.
Kwasababu, nyota iitwayo solar iko moja tu,ambayo ndiyo hili jua (sun) letu.

Nyota zote zinazunguka around the center of galaxy 🌌 zilimo.

Solar, Alcione, Deneb, Arcturus, Alpha centaur na nyingine zaidi ya billion zilizo ndani ya Galaxy hii ya milk way, zinaorbit around center of Milkway

Hapa chini ni animations kuonesha namna galaxy zinakuwa, hapo ni mfano wa galaxy tano

Nimemkumbuka Teacher Mosha kwenye Geography Ila wewe unafundisha kwa speed ya Jet wanafunzi tutakula Zero nyingi sana yaan sijaelewa plus mvurugano wa sentensi ndio nahisi kupewa kidumu cha ulanzi nitulize ubongo
Teacher mosha wa mbezi beach au? Ambaye Kwa sasa ni marehemu?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Somo zuri sana hili weka na michoro yake kwa faida ya wengi

Somo zuri sana hili weka na michoro yake kwa faida ya wengi

Hii taarifa yako haina mlingano na taarifa yeyote ile ya Ki Astronomy,

Kwanza ni makosa kusema solar system ziko saba.
Kwasababu, nyota iitwayo solar iko moja tu,ambayo ndiyo hili jua (sun) letu.

Nyota zote zinazunguka around the center of galaxy 🌌 zilimo.

Solar, Alcione, Deneb, Arcturus, Alpha centaur na nyingine zaidi ya billion zilizo ndani ya Galaxy hii ya milk way, zinaorbit around center of Milkway

Hapa chini ni animations kuonesha namna galaxy zinakuwa, hapo ni mfano wa galaxy tano

View attachment 2881165
Sawa. Commander Hatton anasema jus linazunguka Silicone once every 25,000 yrs
Na Alcione inazunguka center of the Galaxy once every 250,000,000 years.
I don't know what is at the center of the Galaxy, whether it is a black hole or a big sun. Anyway,it is called the Great Central Sun.
Na hii Alcione inaitwa the Central Sun.
Kesho nitaweka diagram.
 
Back
Top Bottom