Out of my league!


The first bold is
Binadamu hatukulii katika mazingira sawa, maisha sawa au hali sawa hivyo sio mara zote mtu anaweza kukujibu KAVUKAVU badala yake anaweza akachagua namna ya kukujibu.

Second and third bold
Hata ktk maandiko tunaaswa kuyashinda majaribu.
Fahamu ya kwamba majaribu hayana sura ambapo unaweza ukayagundua kwa kuangalia. Mtu kukufanya uwe na MSONGO WA MAWAZO au kukufanya UJISIKIE SIVYO ndio majaribu yenyewe.
Katika maisha usitegemee kuishi bila kukosa mtu/watu wa kukupotezea malengo yako. Na uwezo wako wa kupambana na watu hao ndio tunagundua uwezo wako wa kupambana na matatizo.
Na unaweza kujaribiwa kwa makusudi au ukafanyiwa kwa nia ya kweli.
 
Coz i have seen BROKEN HEART answer from you to Lizzy thread's for a second time
So i want to compare you and Lizzy

mimi ni she...!

haya compare bas

I see you as a VERY STRONG WOMAN in your mind :clap2:

yes i am!you wanna try me?

No need to try you anymore, as i have been following you in different posts here . . . . :coffee:

..too personal!
mind u r own buznec

back to topic please!

:coffee::coffee::coffee::coffee::coffee:
 
Asemayo hayo either amekosa busara.., au he/she does not mean anachosema ni hasira na jazba ya kutaka kumuumiza mwenzake..,

By the way hao out of my league, sometimes wanasema hayo kumkatisha mtu tamaa asiwafate ila with persistance you all become in the same league.

Some people love the Chasing na ukiwaambia hivyo unawapa challenge na ndio wanajenga kambi kabisa na hawakomi mpaka wamekupata
 


Labda majambozi, Pesa, mtu alivyo nk. Lakini kwa ujumlakama hujisikii ama huwezi kuwa na mtu basi mjibu tuu kiustaarabu. Umenikuna sana, maana umemwaga point ambazo watu wengi yalishawakuta. Utasikia watu wengine bwana, unanionaje kwanza unaoni mm size yako? una nini wewe mpaka unanifuatafuata!! kazi kweli kweli. Just be simple kaka ama dada samahani hicho unachoniambia nimekusikia uzuri wa kutosha lakini mm siko tayari kabisa either nina mwenzio. Kwa hiyo tuheshimiane tuu. I guess jamaa ama mdada atakuheshimu kwa ustaarabu wako kuliko kashfa, Nani anayeyajua ya kesho????
 

Lizzy kwa kweli maneno hayo ya dharau huwa hayanisumbui kwa kuwa majibu yake mara nyingi yanapatikana-shida ni pale mdada unapomsalimu anakuangalia kuanzia chini mpaka juu na huku mdomo kauweka kiaina fulani (nadhani Unanipata) macho na kichwa vimewekwa kwenye angle fulani halafu anaondoka au anaendelea na shughuli zake! Hapo mimi ndio huwa natamani nimrukie mtu na kumrarua lakini busara ndio huwa inanituliza
 
Hehe kweli mna kazi kaka zetu!Hii inaendana sana na hayo majibu!Asipoyatoa kwa kinywa anakuonyesha dharau kwa lugha ya mwili!
 

l.o.l....jamani eeeh you are out of her league simply because ya got nothing to offer...basi!...
kunta umeniacha hoi sana na hizo sentensi zilizokozwa...l.o.l
 
Kweli kazi tunayo dadaa lakini tunabanana hivyo hivyo!
 
Hashy we mwenyewe unajua ukikutana na mjivuni inavyokuwa!
 
Maneno kama hayo usichukulie kabisa, take your step ukiona bla bla imekuwa nyingi.
Wapo wengi na sio kila siku utafanikia na business zako - mara faida mara hasara.
 
Huwa tunaangaliwa kuanzia juu hadi chini kama bidhaa za Kariakoo
 
Mi nafikiri inategemea na msichana kwa wakati huo anakuwa amepitia mambo gani. Utakuta mtu jana yake katoka kumfumania boyfriend wake,au wiki iliyopita mtu aliyedhani atakuwa mumewe kaoa na yeye alikuwa hana taarifa yoyote na walikuwa wanaendelea na uhusiano kama kawaida. halafu ndio kakaa mahala anapita mwanaume anamtongoza, weweeeeeeee moto lazima uwake. Ila unamkuta msichana yuko katika moods nzuri anacheka na wenzake yupo happy halafu unamtongoza lazima tu atakujibu vizuri
Kwa hiyo ushauri wangu wanaume wawe wanamwangalia mtu kwanza kabla hawajamtokea nahisi sign zote utaziona usoni
 

Kweli Gaga.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…