Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo bia yangu hii kama nikiwa nimezifiwa na mawazo huwa nakunywa mara moja moja..True that..
Wamefanya mabadiliko makubwa sana..
Hahahah hiyo mtu lazma ujinyee haitofautiani na BingwaKuna via mpya inaitwa Hassons na Gosberg inatengezwa Shinyanga. Jaribu hiyo ulete mrejesho.
Ya kawaida sana mkuu.Hassons in 4%vol huyu Gosbergana 4.4%@volHahahah hiyo mtu lazma ujinyee haitofautiani na Bingwa
Kilimanjaro ndo habari ya mjini. Kunywa kilimanjaro upate burudan ya moyo wakoNi bia pendwa kwa sasa. Out of nowhere yule mpinzani mkuu anapotea .
Ingia pub yeyote... Whatever bar Kilimanharo trends...
Thread!
What's ur feeling!??
Sijazijaribu hixoYa kawaida sana mkuu.Hassons in 4%vol huyu Gosbergana 4.4%@vol
Sema mkuu kwa hii umelipwa!! What a mem!??Kilimanjaro ndo habari ya mjini. Kunywa kilimanjaro upate burudan ya moyo wakoView attachment 2852999
BOngo Hennessy nyingi ni za manzese, unless kama unakunywa 5 star hotel ama joint ya kuelewekaPombe Hennessey bia ni matatizo ya kiuchumi
IpiGuys ..hii ishu iko serious