Zenji shwari, Kyela shwari, Manzese shwari, Musoma shwari!!
Nadhani alichokuwa anataka kusema ni - "Bongo tambarare" ila akasita tu kidogo!
Naogopa kuwa mtabiri (bila kumuona sheikh Yahya) lakini nadhani alikusudia kusema huu ni mwaka wa uchaguzi na sio mwaka wa siasa kama alivyosema. Huwezi kuwaambia watu kuwa huu ni mwaka wa siasa, kimantiki siasa ipo kwenye maisha ya kila siku kwani ndio uendeshaji wa nchi. Au lini hatukuwahi kuwa kwenye siasa?Nyumbani ni shwari. Mnaweza kusikia mengi ya siasa kupitia magazetini, lakini mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mtasikia mengi ya kisiasa, lakini msiwe na wasiwasi, nchi yetu ni shwari - Kikwete (akizungumza na wanafunzi wa kiTZ huko Uturuki)
poa, asante for info. Ila hiyo nimeelewa ni nia ya wewe hapo kuweka hiyo picha. Lakini swali bado linabaki hilo bango ni la nini (mwenzio mi sipo dar nieleweshe)
2010
Nyumbani ni shwari. Mnaweza kusikia mengi ya siasa kupitia magazetini, lakini mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mtasikia mengi ya kisiasa, lakini msiwe na wasiwasi, nchi yetu ni shwari - Kikwete (akizungumza na wanafunzi wa kiTZ huko Uturuki)
'Shwari' is relative. depends from which vantage point you are looking at. From my vantage point?? The natives are restless..........