Out of Touch: Madhara ya kusafiri mara kwa mara?

Out of Touch: Madhara ya kusafiri mara kwa mara?

Poa, asante for info. Ila hiyo nimeelewa ni nia ya wewe hapo kuweka hiyo picha. Lakini swali bado linabaki hilo bango ni la nini (mwenzio mi sipo Dar nieleweshe)
 
Zenji shwari, Kyela shwari, Manzese shwari, Musoma shwari!!

Nadhani alichokuwa anataka kusema ni - "Bongo tambarare" ila akasita tu kidogo!

Ungeongezea na huko wamang'ati wanakopigana mishale nako shwari!! The guy is sick .. Ni mvivu wa kufikiri badala yake anacheka cheka!!!!
 
Nyumbani ni shwari. Mnaweza kusikia mengi ya siasa kupitia magazetini, lakini mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mtasikia mengi ya kisiasa, lakini msiwe na wasiwasi, nchi yetu ni shwari - Kikwete (akizungumza na wanafunzi wa kiTZ huko Uturuki)
Naogopa kuwa mtabiri (bila kumuona sheikh Yahya) lakini nadhani alikusudia kusema huu ni mwaka wa uchaguzi na sio mwaka wa siasa kama alivyosema. Huwezi kuwaambia watu kuwa huu ni mwaka wa siasa, kimantiki siasa ipo kwenye maisha ya kila siku kwani ndio uendeshaji wa nchi. Au lini hatukuwahi kuwa kwenye siasa?
 
Labda alimaanisha maporomoko ya ardhi na mafuriko hayaikumbi Darisalama. Yanatokea hukoooo mbali. Pale ikulu ni tambarare tu.
 
Nyumbani ni shwari. Mnaweza kusikia mengi ya siasa kupitia magazetini, lakini mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mtasikia mengi ya kisiasa, lakini msiwe na wasiwasi, nchi yetu ni shwari - Kikwete (akizungumza na wanafunzi wa kiTZ huko Uturuki)

nchi ni shwari huku waanga kumi na saba wanachinjwa kwa visasi visivyotafutiwa ufumbuzi wa kudumu? Moto wa Richmond ukifunikwa na blanketi etc etc nchi hiko shwari Mh. Rais...nchi hiko shwari waNANCHI HAWALIPWI MISHAHARA . Kazi kweli kweli sijui vigezo vya maneno hayo ni based on what? kwamba hazina inaweza kulipia hizo safari? kichwa kinauma nikiendelea kuwaza na kuwazua haya.
 
'Shwari' is relative. depends from which vantage point you are looking at. From my vantage point?? The natives are restless..........
 
'Shwari' is relative. depends from which vantage point you are looking at. From my vantage point?? The natives are restless..........

17468.jpg

The Pastoralists from Barbaig and Iraqi tribe carry spears and arrows to guard the Gawal farm in order to stop the partition of the farm to the farmers. The farm is located at Mulbadaw village, Hanang in Manyara region. Story page 3. PHOTO/MUSSA JUMA
 
Back
Top Bottom