Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
Wewe ulinyimwa ndo maana bado unamshikia bango...
Kama wewe unavyoendelea kumshikia bango Obama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulinyimwa ndo maana bado unamshikia bango...
Kama wewe unavyoendelea kumshikia bango Obama...
Hana mpango huyo Obama wenu. Ni one term pres.
Hata kutukuwepo nchini mwako muda mrefu napo kuna madhara kama hayo!!!!
Companero,
Hilo bango liko wapi? Linatangaza nini haswa? Nani analilipia?
Si hivyo p53 (by the way which tumour are you preventing? - inside joke)
Ni kwamba Rais ametuangusha wengi tuliokua na matumaini mengi kwake.
Hasa mimi. Mwanzoni alikua ananisisimua kwa ari yake. Sasa hivi, mh!
Mimi ninachosema ni hivi, kwa nini asiwe mkweli aawambie tu wananchi hali ya kisiasa ni hivi na vile, na sio kusema ni shwari wakati sote twajua sio. Hayo mambo ya "kila kitu shwari" ni ya kusema kwa watu wa nje, watoto wa nyumbani unawaambia ukweli bwana
Mind your own business, LOL!
Yaani Injinia upo serious ulikuwa na matumaini mengi kwa rais? pole sana