halafu akikutana na mwingine katengeneza zake anakodolea macho wakati anasema anataka natural hair kwa mkewe lol!wanaume mnapenda kutoka nyie tu ......wake zenu hamuwapi hata ruhusa!
utasikia mtu anamwambia mkewe "i like ur hair natural, baby" kumbe anataka safari za saluni zikatike
Du mwenzangu, huyu semenya huyu ataleta tabu huyu. sina taarifa na hiki kikao, labda ZD atakuwa na taarifa kutoka kwa switihati wake xpin.
Btw, how are you today? feeling better?
naona anastahili!akitumia bunduki tofauti fidel itabidi ajiexpress😀
Du mwenzangu, huyu semenya huyu ataleta tabu huyu. sina taarifa na hiki kikao, labda ZD atakuwa na taarifa kutoka kwa switihati wake xpin.
Btw, how are you today? feeling better?
Fikiria tumekukatana kwenye kikao chetu cha jmosi au j2 na Mr. nae yupo huku na huku Masanilo anaingizia story kuwa dah ile wheel barrow style balaa huku pembeni kuna mdau Nguli nae anapigilia msumari hapa kati kuna Geoff nae anapigilia msumari hiyo lazima uwe umeshiba pembeni mpwa Chrispin nae anamwaga vitu wewe joto halita panda?
shemeji hapa si tunazungumzia autingi?🙂Hii thread tunaruhusiwa kwenda off key? Hahahaha! Hilo jukumu tulikubaliana tumwachie mutu ya pesa mingi papaa fidel.
ndio maongezi mnayoendaga kubadilishana?
aaaah, binamu, kwenye kikao nilichoasisi mimi sikujua kama semenya naye yuko kwenye agenda. lakini kama atapewa fidel ruksa, tunamkaribisha semenya.Lol! Binamu kikao chenyewe ulikiasisi wewe, afu unatugeuka. Huoni hata haya? Hahahaha! Mambo ya cheers na maredflawa kwa ajili ya sisy na bwashee.
shemeji hapa si tunazungumzia autingi?🙂
he Nyamayao afadhali umefika. mzima lakini?ndio maongezi mnayoendaga kubadilishana?
Lol! Binamu kikao chenyewe ulikiasisi wewe, afu unatugeuka. Huoni hata haya? Hahahaha! Mambo ya cheers na maredflawa kwa ajili ya sisy na bwashee.
aaaah, binamu, kwenye kikao nilichoasisi mimi sikujua kama semenya naye yuko kwenye agenda. lakini kama atapewa fidel ruksa, tunamkaribisha semenya.
Yaaa! Semenya naye anataka ahudhurie, tatizo hatujajua kama yeye ni she au he au shemale! Hahaha! Tunahofu asije akawa shemale afu mpwa Fidel akawa hayupo. Lol! Tahadhari kabla ya hatari!
bwa-shee tatizo kubwa ni SEMENYA!akitumia bunduki kama yako kuna hatari ukaporwa zd😀
]Halafu watoto nyumbani nani atawalea?[/COLOR] Hahaha! Hiyo red hiyo, hapo umenena jambo.
Hivi Semenya anaweza kumtoa ZD kwenye himaya wakati makomandoo Carmel, FL1, Nyamayao, Kaizer, Masanilo, Fidel,G_P wapo gado? Usisahau we na sisy mtakuwa high table mnalishana makeki na mashampeni aina ya taska!
hili mimi mtanisamehe!sio mshabiki kabisa.KUTOKA MOYONI,SIO MSHABIKIWapwa kuna hot mada kule kwenye mambo ya kikubwa mwanamke bila kupigwa O hakieleweki haya sasa akina Nyamayao mnao pinga kujiexpress msaidieni jamani
hili mimi mtanisamehe!sio mshabiki kabisa.KUTOKA MOYONI,SIO MSHABIKI
Nguli yupo,atamdhibiti.nitampigia apite mayfair gym kabisaaa!maanake huyu SHEMALE namuogopa.na mimi siku hiyo nitakuwa gesti of hana!full matabasamu na maaibu!kwi kwi kwi kwi