Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
- Thread starter
-
- #21
Huyo Lucie anaishi apartment ya juu yangu tu hapa. Kitaeleweka tuSasa kwa nini uchukue mwanamke wa tinder wakati unao marafiki kibao, ungefanya booking mapema kabisa kwa mmoja wa washkaji zako usiku ungefurahia walau kidogo.
Bado unasisitiza🤣🤣
Sasa kama mtu humfahamu manake si stranger huyo? Au bwana Jack Palladino anataka kusugua gaga usiku wa mwaka mpya?🤣🤣🤣Siyo stranger ni watu wanaojielewa..kama hutaki endelea na hizo hadhithi za sungura na fisi
Tinder nishavuruga sana mkuu. Sema leo nipo bored nikaona nicheki friends zanguZama Tinder mkuu
Yah...asimpe option mwambie let's go somewhere for dinner unapoint kabisa..Usiingie na ombi na kuwapa nafasi ya maoni. Nenda direct omba kuonana sioni. Sasa huyo Louisie umempanga eti any plan tonight? Sasa si kirahisi tu unapigwa chini.
We panga plan mkaribishe yeye ndio akubali au akatae
Usiingie na ombi na kuwapa nafasi ya maoni. Nenda direct omba kuonana sioni. Sasa huyo Louisie umempanga eti any plan tonight? Sasa si kirahisi tu unapigwa chini.
We panga plan mkaribishe yeye ndio akubali au akatae
Sisi wabongo stranger ndio safi😅Sasa kama mtu humfahamu manake si stranger huyo? Au bwana Jack Palladino anataka kusugua gaga usiku wa mwaka mpya?🤣🤣🤣
Sawa mkuu, ila leo sio siku ya kunyanduana🤣🤣🤣 utakuwa unataka pussy mwaka mzima..hahahaSisi wabongo stranger ndio safi😅
Lazima nitapata mmoja 😅Sawa mkuu, ila leo sio siku ya kunyanduana🤣🤣🤣 utakuwa unataka pussy mwaka mzima..hahaha
Hii ni sawa na kutangulia kubook hotel na kulipia chumba kabisa afu later uanze tafuta mwanamke. Not a good ideaWe panga plan mkaribishe yeye ndio akubali au akatae
Hapa najiandaa nitoke mkuuFanya utoke kajichanganye kama uko vizuri mfukoni utapata uko uko ila inatemea na nchi uliopo !!
Wa kumuweka au wa kukupa company usiboreke?Lazima nitapata mmoja 😅
Kuspend nae the whole night mkuuWa kumuweka au wa kukupa company usiboreke?
Huyo Lucie anaishi apartment ya juu yangu tu hapa. Kitaeleweka tu
Kabisa hii ndio tasnia tunayofanya vizuri🤣Sasa chukua bendera ya taifa, iweke mbele Yako, huku ukiwa unaitazama jipige kifuani sema Mimi ni kijana wa kitanzania na hii ndio tasnia tunafanya vizuri.
Kabisa hii ndio tasnia tunayofanya vizuri🤣