Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
- Thread starter
- #21
Huyo Lucie anaishi apartment ya juu yangu tu hapa. Kitaeleweka tuSasa kwa nini uchukue mwanamke wa tinder wakati unao marafiki kibao, ungefanya booking mapema kabisa kwa mmoja wa washkaji zako usiku ungefurahia walau kidogo.