Samahani naomba kuuliza.....kwa sisi wanawake ambao tarehe zetu hazijirudii na mzunguko unapishana pishana.....namaanisha kuna mwezi unaingia baada ya siku 28 then 36 then 25 then 32 Kujua siku ya ovulation inatumika njia gani??Ovulation ni kitendo cha yai(ova) lililokomaa kutoka katika mfuko wa mayai(ovary) tayari kwa kurutubishwa
Kwa kithungu:
Ovulation is when a mature egg is released from the ovary, pushed down the fallopian tube, and is made available to be fertilized.
Fertile window ni kipindi ambacho mwanamke anaweza kushika mimba, hii inajumuisha siku ya Ovulation na siku 5 baada ya Ovulation.
Hichi kipindi kinasaidia wanandoa kukutana wakati wa kutafuta mtoto ambapo ndio urutubishaji unafanyika katika hichi kipindi.
Kithungu:
The “fertile window” refers to the period of time in the female fertility cycle during which a woman is able to get pregnant — this typically includes the day she ovulates and the five days preceding ovulation. This is the best time to have intercourse if you’re trying to conceive.
Mwanamke akiovulate kwanza joto la mwili huongezeka na hutoka maji mazito mfano wa ute wa yaiSamahani naomba kuuliza.....kwa sisi wanawake ambao tarehe zetu hazijirudii na mzunguko unapishana pishana.....namaanisha kuna mwezi unaingia baada ya siku 28 then 36 then 25 then 32 Kujua siku ya ovulation inatumika njia gani??
Ahsante kwa swali lako zuri:Samahani naomba kuuliza.....kwa sisi wanawake ambao tarehe zetu hazijirudii na mzunguko unapishana pishana.....namaanisha kuna mwezi unaingia baada ya siku 28 then 36 then 25 then 32 Kujua siku ya ovulation inatumika njia gani??
Ahsante sana kwa mchango wako.Mwanamke akiovulate kwanza joto la mwili huongezeka na hutoka maji mazito mfano wa ute wa yai
Kwa kweli hapo ni ngumu subiri wajuzi watakujuza zaidi
AsanteAhsante sana kwa mchango wako.
Upo sahihi kabisa.
Sidhani kaa vipoSina uhakika kama vipo au la.
Kwenye Pharmacy kubwa na Clinics special kwa masuala ya uzazi hasa za private zinaweza kupatikana.Sidhani kaa vipo
Inawezekana lakiniKwenye Pharmacy kubwa na Clinics special kwa masuala ya uzazi hasa za private zinaweza kupatikana.