Ovulation ni kitendo cha yai(ova) lililokomaa kutoka katika mfuko wa mayai(ovary) tayari kwa kurutubishwa
Kwa kithungu:
Ovulation is when a mature egg is released from the ovary, pushed down the fallopian tube, and is made available to be fertilized.
Fertile window ni kipindi ambacho mwanamke anaweza kushika mimba, hii inajumuisha siku ya Ovulation na siku 5 baada ya Ovulation.
Hichi kipindi kinasaidia wanandoa kukutana wakati wa kutafuta mtoto ambapo ndio urutubishaji unafanyika katika hichi kipindi.
Kithungu:
The “fertile window” refers to the period of time in the female fertility cycle during which a woman is able to get pregnant — this typically includes the day she ovulates and the five days preceding ovulation. This is the best time to have intercourse if you’re trying to conceive.