Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024.

Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8.

Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
 
lita 200 mbona inatosha tu westpoint, MrUk wako vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…