Over 300,000 residents in Turkana are in danger as Turkwell dam is about to overflow

Over 300,000 residents in Turkana are in danger as Turkwell dam is about to overflow

Soma hyooo

Kweli wewe Mjinga!Ya kwenu umefumbia macho!
Screenshot_20201020-083856.jpg
 
Ohooo.sisi mafuriko yetu tayari yamepita.
Ila nyie YAPO NJIANI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unageuza iwe ligi ya kina nani mwenye maafa zaidi ya mwingine?
I won't stoop low to this level! Human life is sacred! Have a good day!
 
Maisha ya binadamu yangekuwa na umuhimu kwenu.
Msingekuwa mnatoa data za uongo za coro na ili mpige pesa za msaada za wazungu.
Maisha yenu wakenya hayana thamani ndo maana viongozi wenu wameyageuza mtaji wa kupata hela za msaada za Corona
Sasa unageuza iwe ligi ya kina nani mwenye maafa zaidi ya mwingine?
I won't stoop low to this level! Human life is sacred! Have a good day!
 
Back
Top Bottom