Overdrive

Overdrive

Ikiwa inawaka kwenye Dash board maana yake iko ON.Swali hili limekuwa likiibuka sana hapa JF
 
Ikiwa inawaka kwenye Dash board maana yake iko ON.Swali hili limekuwa likiibuka sana hapa JF
Mmmh sio ikiwaka kwenye dashboard ndio inakuwa OFF??Maana pale inakuwa inasomeka kuwa Overdrive ipo Off hii kitu inachanganya wengi.
 
Hapo inakuwa "neutral"-sio ON wala sio OFF
 
Let me ask Mr. Mechanical Google.
 
Mmmh sio ikiwaka kwenye dashboard ndio inakuwa OFF??Maana pale inakuwa inasomeka kuwa Overdrive ipo Off hii kitu inachanganya wengi.
Labda,mm si mtumiaji wa gari za namna hii mara kwa mara lakini hiyo haina tofauti na fourwheel Drive.Fourwheel ukipachika gear yake Dashboard inawaka kukuonyesha kwamba uko kwenye 4WD.Ukiondoa gear dashboard inazimuka.
 
Ukibonyeza switch na kwenye dash bord taa ikawaka itasomeka hivi OD OFF hapo inamaana overdrive haifanyi kazi na kama utaendesha gari kwa hali hiyo haitamaliza gia.
 
Naomba kujua OD ikiwa inawaka kwenye dashboard ndio ipo On au off na inatakiwa itumike wakati gani
OD ikiwaka inakuwa on, na unatakiwa kuitumia sana pale unapotaka kuovertake coz hii kitu huwa inafanya gari kutembe na gear kubwa. Hivyo upelekea gari kuwa na puling. Mfano mzuri ukiwa na gari manual upo gear namba tano ukitaka ku overtake faster unaweza change gear kwenda gear namba nne ili uwe na puling kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom