michaelsarakikya
Member
- Feb 16, 2013
- 12
- 2
Naomba kujua OD ikiwa inawaka kwenye dashboard ndio ipo On au off na inatakiwa itumike wakati gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa inawaka kwenye Dash board maana yake iko ON.Swali hili limekuwa likiibuka sana hapa JF
Mmmh sio ikiwaka kwenye dashboard ndio inakuwa OFF??Maana pale inakuwa inasomeka kuwa Overdrive ipo Off hii kitu inachanganya wengi.Ikiwa inawaka kwenye Dash board maana yake iko ON.Swali hili limekuwa likiibuka sana hapa JF
Labda,mm si mtumiaji wa gari za namna hii mara kwa mara lakini hiyo haina tofauti na fourwheel Drive.Fourwheel ukipachika gear yake Dashboard inawaka kukuonyesha kwamba uko kwenye 4WD.Ukiondoa gear dashboard inazimuka.Mmmh sio ikiwaka kwenye dashboard ndio inakuwa OFF??Maana pale inakuwa inasomeka kuwa Overdrive ipo Off hii kitu inachanganya wengi.
[emoji1] [emoji1] , sasa kwa nini isomeke OFF wakati ipo NeutralHapo inakuwa "neutral"-sio ON wala sio OFF
OD ikiwaka inakuwa on, na unatakiwa kuitumia sana pale unapotaka kuovertake coz hii kitu huwa inafanya gari kutembe na gear kubwa. Hivyo upelekea gari kuwa na puling. Mfano mzuri ukiwa na gari manual upo gear namba tano ukitaka ku overtake faster unaweza change gear kwenda gear namba nne ili uwe na puling kidogo.Naomba kujua OD ikiwa inawaka kwenye dashboard ndio ipo On au off na inatakiwa itumike wakati gani
Vice versa is trueIkiwa inawaka kwenye dashboard ndio iko OFF
Acha uongo wewe ikiwaka kwenye dash board jua ndo ipo OFFIkiwa inawaka kwenye Dash board maana yake iko ON.Swali hili limekuwa likiibuka sana hapa JF
Baada ya kufuatilia kuhusu hii kitu nisemee tu wale ambao hii kitu bado inawachanganya basi wachukue jibu lako na walifanyie kazi.OD ikiwaka kwenye dashboard it means ipo OFF inashauriwa kuiacha ON kwani inasaidia ufanisi wa mwendo wa gari kwa kutumia mafuta kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app