[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nguo za kutosha??
Mimi Mars simkubali kihivyo, ila kwangu mimi ndiyo msanii pekee ambaye hajawahi kutoa wimbo mbaya hata mmoja.UNDERRATED
Mimi Mars
Young Lunya
*Muziki wa singeli UNDERRATED
Si nyie ndo mlisemaga Harmonize akiwa nje ya WCB hampati Marioo au sio nyie?Kwa sasa kwa uimbaji wa nyimbo za kumbeleza sio wa kumfikia Marioo.
Marioo akijiunga na WCB atapewa bonge la promo Harmonize akasome
Kwa Mimi Mars naunga mkono 100, anaimba vizuri sana ila still watu wengi wanamchukulia kama ni just 'mdogo wake Vannesa' badala ya kumchukulia kama brand kubwa inayojitegemeaUNDERRATED
Mimi Mars
Young Lunya
*Muziki wa singeli UNDERRATED
KAbisa Darmian lil ommy interview anajua sanaYou are correct sir
Kiufupi Dozen ana uwezo wa kukeep it classy..Mchomvu ni mropokaji sana sometimes ndo maana hata anaingia nusu saa kabla ya show kuisha..
Lil ommy ni mfanya interview mzuri kiasi ila sio mtangazaji mzuri ukiondoa interview..
Zoe underratedCCM - Overrated
Yanga - Overrated
Rayvanny - Underrated
Nyonyoma - Underrated
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee kaka, kwanza ulipotelea wapi?Zoe underrated
Shamba Dada linaficha mno, nime mwachia Sakayo sasa hivi alinde ndege wasile mazao Mimi nimekuja kula sikukuu kwanza. miss you too Dada ake.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee kaka, kwanza ulipotelea wapi?