Tit 4 Tat
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 737
- 997
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sawa kwa 600%.Mpoki ni overrated hilo lipo wazi,
Hana jipya kuchekesha hajui,
Kitu anachokifanya ni kuchukua vimisemo vya mitandaoni na kutengenezea vi-video vyake
Ana ile ya kukera ndo kabisaaa utumbo
Kifupi mwamba ni overrated na hajui
JOTI anajua.
Madee mwenyewe alishawahi kusema kua boshoo ni noma huwezi kuwafananisha na marapa ambao wana bang kwenye mainstreamMc Pilipili overrated
Grace Matata underrated
Nikki wa Pili overrated..Smartness wise
Boshoo ninja..Underrated..Hiphop
B-12 huyu presenter yuko OVERRATED sana ni wa kawaida kupita maelezo na anayekinogesha kipindi cha XXL ni Adam mchomvu
Sent using Jamii Forums mobile app
You are correct sirSisikilizi sana show za mchana now days
Ila kwa bongo hii mpaka sasa B - 12 anabaki kuwa king of afternoon show
Dozen anajua kum - interview mtu vizuri na maswali ya kueleweka mchomvu ni mpiga kelele
Dozen anajua aongee nini wakati gani mchovu hachelewi kutupi neno la ajabu na kijinga hata tusi katikati ya show
Dozen anajua time management vizuri kitu amabacho mchomvu hana fuatilia show ambazo ana host mchovu pekee utaliona hili
Kingine kwa utangazaji bongo hii lil ommy yupo overrated sana
Na kingine tu Dozen ni rol model wa watangazaji wengi sana angalia wangapi wana-copy staili yake ya utangazaji
Nakusubiri.
Antony Mtaka Underrated RC√√Wasafi media overrated,
Jiwe overrated,
Gadner overrated,
Queen Fifi underrated,
Antony Mtaka underrated,
Radio Tumaini underrated.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zee la yeh baba,ali k ni overated sana,na harmo rapper mbona anakua under rated hivi.Bila itakua ni bifu tu01.KENEDY THE REMEDY
Jamaa ni presenter mzuri,hatumii nguvu nyingi kupresent,lakini ni UNDERRATED SANA
02.MALKIA KAREN
Huyu mrembo ana uimbaji fulani mzuri sana lakini ni UNDERRATED sana
03.OTUCK WILLIAM
Bonge la rnb singer,tafuta ngoma zake youtube utanielewa..mfano push it ft Joh Makini..UNDERRATED sana
04.MPOKI
Hajawahi kunichekesha..OVERRATED comedian
Leta under na over zako
UnderatedHapa ndiyo utasikia, huu uzi ungekuwa na picha ungekuwa pouwa zaidi"
Sent using Jamii Forums mobile app