Overrated na Underrated

Overrated na Underrated

Mpoki ni overrated hilo lipo wazi,

Hana jipya kuchekesha hajui,

Kitu anachokifanya ni kuchukua vimisemo vya mitandaoni na kutengenezea vi-video vyake

Ana ile ya kukera ndo kabisaaa utumbo

Kifupi mwamba ni overrated na hajui

JOTI anajua.
Uko sawa kwa 600%.
 
Mc Pilipili overrated

Grace Matata underrated

Nikki wa Pili overrated..Smartness wise

Boshoo ninja..Underrated..Hiphop
Madee mwenyewe alishawahi kusema kua boshoo ni noma huwezi kuwafananisha na marapa ambao wana bang kwenye mainstream
 
B-12 huyu presenter yuko OVERRATED sana ni wa kawaida kupita maelezo na anayekinogesha kipindi cha XXL ni Adam mchomvu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sisikilizi sana show za mchana now days

Ila kwa bongo hii mpaka sasa B - 12 anabaki kuwa king of afternoon show

Dozen anajua kum - interview mtu vizuri na maswali ya kueleweka mchomvu ni mpiga kelele

Dozen anajua aongee nini wakati gani mchovu hachelewi kutupi neno la ajabu na kijinga hata tusi katikati ya show

Dozen anajua time management vizuri kitu amabacho mchomvu hana fuatilia show ambazo ana host mchovu pekee utaliona hili

Kingine kwa utangazaji bongo hii lil ommy yupo overrated sana

Na kingine tu Dozen ni rol model wa watangazaji wengi sana angalia wangapi wana-copy staili yake ya utangazaji

Nakusubiri.
 
You are correct sir

Kiufupi Dozen ana uwezo wa kukeep it classy..Mchomvu ni mropokaji sana sometimes ndo maana hata anaingia nusu saa kabla ya show kuisha..

Lil ommy ni mfanya interview mzuri kiasi ila sio mtangazaji mzuri ukiondoa interview..
 
01.KENEDY THE REMEDY
Jamaa ni presenter mzuri,hatumii nguvu nyingi kupresent,lakini ni UNDERRATED SANA

02.MALKIA KAREN

Huyu mrembo ana uimbaji fulani mzuri sana lakini ni UNDERRATED sana

03.OTUCK WILLIAM

Bonge la rnb singer,tafuta ngoma zake youtube utanielewa..mfano push it ft Joh Makini..UNDERRATED sana

04.MPOKI

Hajawahi kunichekesha..OVERRATED comedian

Leta under na over zako
Zee la yeh baba,ali k ni overated sana,na harmo rapper mbona anakua under rated hivi.Bila itakua ni bifu tu
 
Back
Top Bottom