Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Nandy na Lavalava overrated kivipi?
Too much promo wakati kipaji cha kuimba ni wastani. Lavalava ni mzuri kwenye uandishi ila sauti yake ya kuimba hapana. Nandy sauti yake ya kuimba ni wastani haishtui kiviiile. Ni maoni yangu tu lakini.