Overrated na Underrated

Nandy na Lavalava overrated kivipi?

Too much promo wakati kipaji cha kuimba ni wastani. Lavalava ni mzuri kwenye uandishi ila sauti yake ya kuimba hapana. Nandy sauti yake ya kuimba ni wastani haishtui kiviiile. Ni maoni yangu tu lakini.
 
Samatta overrated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too much promo wakati kipaji cha kuimba ni wastani. Lavalava ni mzuri kwenye uandishi ila sauti yake ya kuimba hapana. Nandy sauti yake ya kuimba ni wastani haishtui kiviiile. Ni maoni yangu tu lakini.
Lakini si wanafanya mziki mzuri.Kinachoangaliwa ni kufanya mziki mzuri si kuimba Sana
 
Teh dogo naona itakuwa haujui maana ya mtu kuwa overrated na underrated, we si ndiyo uko kule kwenye ule uzi wa Zuchu unamtetea Vee kuwa tusimfananishe na wasanii wengine sasa huku mbona ulisema yuko overrated?
Kigeu geu, daktari, kigeugeu, kondakta kigeugeu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joti doooooh aise basi bongo hamna mshekeshaji!!joti ni fundi aise

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimo naona mchekeshaji anatakiwa achekeshe bila kutumia nguvu.. sasa naona lately joti anatumia nguvu sana kutaka kuchekesha..

Yaani anajikakamua sana , mara apake makeup za kike , mara avae mavazi ya ajabu ajabu..

Angalia wale jamaa wa kenya. Mtu anakuja kapiga suti yake saafi anaongea maneno ya kawaida lakini kila mtu mbavu hana..

Joto yuko overrated sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…