Owner wa Mzalendo pub afariki

Owner wa Mzalendo pub afariki

R.I.P Costa,
Mzalendo pub ilikuwa kijiwe cha vijana wengi mjini, mazungumzo nyeti utasikia tukutane mzalendo pub. Nafikira hata hapa kuna watu walikuwa wanapeana miadi ya kukutana mzalendo pub.
 
r.i.p ndugu yetu mupendwa!
bwana ametoa,na bwana ametwaaaa
jina la bwana libarikiwe
 
Huu msiba unawahusu kwa karibu sana Teamo, Roya Roy, Chrispine, Acid, Kaizer & Others.... Cheers for him

May his soul Rest in Peace
 
Nimepatwa na mshituko mkubwa...,baada ya kupokea habari za msiba mzito katika sekta ya burudani,mmiliki wa Mzalendo Pub Millenium Towers Ndugu yetu Costa Mowo hatunaye tena..., Costa amefariki ghafla leo katika hospital ya KCMC Moshi kwa kuugua ghafla kwa shinikizo la damu "low pressure" alikuwa mtu wa watu

RIP Costa.

TuskerBariiidi - pole sana na wanafamilia wote - huu msiba nafahamu utakugusa sana maana baada ya kutoka mitaa yetu ya Lufungila na kuhamia mitaa hiyo - you will truly miss Costa.
 
Mungu ailaze pema roho ya marehemu Amen
 
Nimepatwa na mshituko mkubwa...,baada ya kupokea habari za msiba mzito katika sekta ya burudani,mmiliki wa Mzalendo Pub Millenium Towers Ndugu yetu Costa Mowo hatunaye tena..., Costa amefariki ghafla leo katika hospital ya KCMC Moshi kwa kuugua ghafla kwa shinikizo la damu "low pressure" alikuwa mtu wa watu
Rest in Peace my friend Costa, there will never be the same mzalendo without you,
 
RIP Costa.

TuskerBariiidi - pole sana na wanafamilia wote - huu msiba nafahamu utakugusa sana maana baada ya kutoka mitaa yetu ya Lufungila na kuhamia mitaa hiyo - you will truly miss Costa.

kwakweli Baba Enock...
 
Back
Top Bottom