JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 82
Awatie ujasiri? Mbona kawaulia ndugu yao kama anajali!Mungu awatie ujasiri wafiwa kipindi hiki kigumu cha msiba.
R.I.P
Hapana mfupi kiasi mng'avu nadhani ana asili toka kanda za juu kama sikosei..
Huu msiba unawahusu kwa karibu sana Teamo, Roya Roy, Chrispine, Acid, Kaizer & Others.... Cheers for him
May his soul Rest in Peace
Umemsahau JS
R.I.P
Nimepatwa na mshituko mkubwa...,baada ya kupokea habari za msiba mzito katika sekta ya burudani,mmiliki wa Mzalendo Pub Millenium Towers Ndugu yetu Costa Mowo hatunaye tena..., Costa amefariki ghafla leo katika hospital ya KCMC Moshi kwa kuugua ghafla kwa shinikizo la damu "low pressure" alikuwa mtu wa watu
Rest in Peace my friend Costa, there will never be the same mzalendo without you,Nimepatwa na mshituko mkubwa...,baada ya kupokea habari za msiba mzito katika sekta ya burudani,mmiliki wa Mzalendo Pub Millenium Towers Ndugu yetu Costa Mowo hatunaye tena..., Costa amefariki ghafla leo katika hospital ya KCMC Moshi kwa kuugua ghafla kwa shinikizo la damu "low pressure" alikuwa mtu wa watu
Hata wewe nilikusahau....
Poleni sana... Hili ni pigi kubwa kwenu wenye "FAVOURATE LIQUIDS"
RIP Costa.
TuskerBariiidi - pole sana na wanafamilia wote - huu msiba nafahamu utakugusa sana maana baada ya kutoka mitaa yetu ya Lufungila na kuhamia mitaa hiyo - you will truly miss Costa.