Owning an ATM

Owning an ATM

Sita Sita

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2008
Posts
1,397
Reaction score
520
habari za kwenu wana jamvi.

kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi
lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa na contract na Visa, umoja Switch, Mastercad etc.
kila transaction nachukua tsh. 2000,

vp sheria za TANZANIA zinaruhusu hii ishu au bado tumezubaa mpaka wachina waje kuziweka

its the best way ya kuwa na universal access to cash kwa hapo Tanzania.
 
Kazi kwako. Mimi ninazo tatu huku US na hawa jamaa. Cheki nao.
Thanks

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
spacer.gif
[/TD]
[TD]
spacer.gif
[/TD]
[TD]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: bgleft, width: 224, bgcolor: #ffffff"]

Contact ACFN
United States
Sixth Floor, Community Towers
111 W. St John Street
San Jose, CA 95113

Canada
First Canadian Place
100 King Street, Suite 5700
Toronto, Ontario M5X 1C7

Franchise Opportunities:
877-360-9161

Email: franchise@acfn.info
[/TD]
[TD="class: bgright, width: 651, bgcolor: #ffffff"]ACFN is North America's only ATM franchise focused on providing ATM services to hotels and other travel and entertainment based businesses. ACFN the ATM franchise business is the right investment opportunity for individuals interested in developing a business with a recurring revenue stream within the financial services sector. With over a decade of experience in ATM services and more than 1,250 locations in North America ACFN is a leader in the ATM industry with a proven track record and impressive client list. In an era where many businesses fail, ACFN – the ATM Franchise Business was ranked the #86 Fastest Growing Franchise in the US for 2010 by Entrepreneur Magazine. The benefits of owning an ATM franchise include our extensive market research to find the best locations for your ATMs and an experienced marketing team to contract these locations as well as installation support and training in all aspects of operating your ATM network. We work with you in all stages of developing & operating your own private network of ATM machines.
Our successful business model allows you to start on a part-time basis without interfering with current income producing activities, thus allowing you to easily transition to a full time ATM franchise business. Contact us now to find out how you can earn significant long-term residual income while working less and earning more.

contact-acfn.jpg

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
habari za kwenu wana jamvi.

kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi
lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa na contract na Visa, umoja Switch, Mastercad etc.
kila transaction nachukua tsh. 2000,

vp sheria za TANZANIA zinaruhusu hii ishu au bado tumezubaa mpaka wachina waje kuziweka

its the best way ya kuwa na universal access to cash kwa hapo Tanzania.

atm franchising business opportunity
 
najua sehemu ya kupata ATM
tatizo sijui regulatory framework ya TZ kuhusu ATM
 
Waswahili! Mmmh, watafoji tu wakulize vijisenti vilivyobakia hapa
 
Kwa wa umoja switch mteja anakatwa sh 550/= kama transaction cost hoyo inagawanywa kwa benki yenye atm, benki ya mteja akaunti holder, na umoja na infosence unakuta mwenye atm anapata 100/= kwa kila transaction
 
Hazitahitajika hapa, sasa hivi benki nyingi zipo kwenye mchakato wa kuanzisha mawakala wa benki. Hawa watakuwa kila mahali nchi nzima kama vile mawakala wa mpesa na watafanya shughuli za deposit na withdraw labda pia kufungua akaunti, hela tunazo katwa kwenye atm ndio itakuwa kamishen yao, zitaongeza sana ajira na neno unbanked litaisha. Akina mpesa, tigo, airtel. zantel wajiandae competition kali kutoka kwa mabenki.
 
hizi rates ni sahihi, tena na flat regardless ya wewe ni mteja wa nani na umetumia ATM ya nani, hizi ni gharama za kutoa au kutumuma pesa, na ni kwa sababu lengo la umojaswitch haikua biashara kwanza bali ilikua huduma kwanza.

cardlesstransfer however ni tsh 750.
 
Kwa hiyo ukiwa na ATM moja unaweza kuwa unaingiza kiasi gani kwa mwezi?
Na ATM ni bei gani?
 
Transaction cost ya visa kwa atm za crdb na nbc ni Tsh 1500. Mgawanyo wake katika ya mwenye atm, mwenye acc na visa sijui.

Ila mimi concern yangu ni kwa nini tutumie Visa kwa local transactions. Kwa nini isiwe sheria kutumia umoja switch kwa bank zote kwa transaction ambazo hazihusishi bank za nje?
 
Hazitahitajika hapa, sasa hivi benki nyingi zipo kwenye mchakato wa kuanzisha mawakala wa benki. Hawa watakuwa kila mahali nchi nzima kama vile mawakala wa mpesa na watafanya shughuli za deposit na withdraw labda pia kufungua akaunti, hela tunazo katwa kwenye atm ndio itakuwa kamishen yao, zitaongeza sana ajira na neno unbanked litaisha. Akina mpesa, tigo, airtel. zantel wajiandae competition kali kutoka kwa mabenki.
Hebu niweke sawa!!! hii imekaaje? yaani wakala anafanya nini??? nipatie chanzo maana hii ndo biashara
 
Mdau mi naona uendelee kufuatilia usikate tamaa soko bado ni kubwa sana hata kama mabenki wataanzisha mawakala,tunaongelea mahitaji ya atm kwenye hotels ,pubs,supermarkets , hata hapa UK atm bure lakini bado kuna atm za kucharge hela kibao na zinapiga hela ka kawaida ..cha muhimu kujua regulations zetu zinasemaje , watu wa banking supervision dept benki kuu wanaweza kuwa na jibu
 
najua hao watu wapo hapa ndo nawasubiria walete majibu otherwise nawafata
 
Nafikiri funga kazi itakuwa kwenye kuswipe,vimashine vya kuswipe vikishazagaa kila kona umuimu wa kuwa na cash utaisha.mana hadi sadaka una swipe.
 
habari za kwenu wana jamvi.

kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi
lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa na contract na Visa, umoja Switch, Mastercad etc.
kila transaction nachukua tsh. 2000,

vp sheria za TANZANIA zinaruhusu hii ishu au bado tumezubaa mpaka wachina waje kuziweka

its the best way ya kuwa na universal access to cash kwa hapo Tanzania.

rafiki,

wazo lako ni zuri tena sana ila weka angalizo ktk mambo haya:
1. transaction charges zako ni kubwa kwan u will discourge watu kuja kufanya transaction nyingi/ au watu kua makini kutofanya makosa( remember leo watu wanapoweka atm cards zao na kurudia rudia its good fr the banks)
2. Security YA HIYO ATM / wanaochukua maana kuna sehem zinaibiwa
3. it has expensive capital and high running maintanance cost
4. utaingilia ulaji wa watu( hujiulizi kwann mpk leo wasambazaji wa ATM wako wachache?)
5. kwa sasa ATM nyingi zilizopo TZ ni za wachina/mitumba, unaona zinavyotusumbua sasa na ww unawataja tena?
6. ukizipata ATM zenye ku-deposit n withdraw ni safi zaid
7. ni biashara yenye return nzuri sana, u will grow faster
 
Hapo point namba tano jaribu kuchunguza vizuri,mana kuna wasouth africa wana mchezo mchafu wa kuchukua matakataka yao waloyatumia wanaya tengeneza na kuvisha cover mpya,na kusambaza kwny nchi za africa zinazopenda kununua vitu vyao,so usiibebeshe mzigo china kwa kila uozo.

rafiki,

wazo lako ni zuri tena sana ila weka angalizo ktk mambo haya:
1. transaction charges zako ni kubwa kwan u will discourge watu kuja kufanya transaction nyingi/ au watu kua makini kutofanya makosa( remember leo watu wanapoweka atm cards zao na kurudia rudia its good fr the banks)
2. Security YA HIYO ATM / wanaochukua maana kuna sehem zinaibiwa
3. it has expensive capital and high running maintanance cost
4. utaingilia ulaji wa watu( hujiulizi kwann mpk leo wasambazaji wa ATM wako wachache?)
5. kwa sasa ATM nyingi zilizopo TZ ni za wachina/mitumba, unaona zinavyotusumbua sasa na ww unawataja tena?
6. ukizipata ATM zenye ku-deposit n withdraw ni safi zaid
7. ni biashara yenye return nzuri sana, u will grow faster
 
habari za kwenu wana jamvi.

kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi
lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa na contract na Visa, umoja Switch, Mastercad etc.
kila transaction nachukua tsh. 2000,

vp sheria za TANZANIA zinaruhusu hii ishu au bado tumezubaa mpaka wachina waje kuziweka

its the best way ya kuwa na universal access to cash kwa hapo Tanzania.
Hiyo nisawa na wakala wa bank. Sheria ya Benki Kuu hairuhusu kuwa na wakala, labda sasa mambo yabadilike.
 
fredmlay, ni sheria hipi hiyo inayokataza uwakala?
na niaje kama nitakua wakala wa Benki kuu, yaani I own the machines alaf nagawana faida na BOT
 
makeda na odinyo nashukuru sana kwa michango yenu, suala la makosa halipo kwenye hizi ATM za kisasa maana hukatwi mpaka ufanye withdraw na hela itoke. kuangalia salio ni bure
 
Back
Top Bottom