Sita Sita
JF-Expert Member
- Aug 25, 2008
- 1,397
- 520
habari za kwenu wana jamvi.
kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi
lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa na contract na Visa, umoja Switch, Mastercad etc.
kila transaction nachukua tsh. 2000,
vp sheria za TANZANIA zinaruhusu hii ishu au bado tumezubaa mpaka wachina waje kuziweka
its the best way ya kuwa na universal access to cash kwa hapo Tanzania.