habari za kwenu wana jamvi.
kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi
lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa na contract na Visa, umoja Switch, Mastercad etc.
kila transaction nachukua tsh. 2000,
vp sheria za TANZANIA zinaruhusu hii ishu au bado tumezubaa mpaka wachina waje kuziweka
its the best way ya kuwa na universal access to cash kwa hapo Tanzania.

Kwa wa umoja switch mteja anakatwa sh 550/= kama transaction cost hoyo inagawanywa kwa benki yenye atm, benki ya mteja akaunti holder, na umoja na infosence unakuta mwenye atm anapata 100/= kwa kila transaction
Hebu niweke sawa!!! hii imekaaje? yaani wakala anafanya nini??? nipatie chanzo maana hii ndo biasharaHazitahitajika hapa, sasa hivi benki nyingi zipo kwenye mchakato wa kuanzisha mawakala wa benki. Hawa watakuwa kila mahali nchi nzima kama vile mawakala wa mpesa na watafanya shughuli za deposit na withdraw labda pia kufungua akaunti, hela tunazo katwa kwenye atm ndio itakuwa kamishen yao, zitaongeza sana ajira na neno unbanked litaisha. Akina mpesa, tigo, airtel. zantel wajiandae competition kali kutoka kwa mabenki.
Mdau mi naona uendelee kufuatilia usikate tamaa soko bado ni kubwa sana hata kama mabenki wataanzisha mawakala,tunaongelea mahitaji ya atm kwenye hotels ,pubs,supermarkets , hata hapa UK atm bure lakini bado kuna atm za kucharge hela kibao na zinapiga hela ka kawaida ..cha muhimu kujua regulations zetu zinasemaje , watu wa banking supervision dept benki kuu wanaweza kuwa na jibu
habari za kwenu wana jamvi.
kuna baadhi ya nchi nimeenda nimekuta mashine za kutoa fedha aka ATM zinamilikiwa na watu binafsi
lets say mimi nanunua mashine zangu naziweka pale mtaani, alaf nakuwa na contract na Visa, umoja Switch, Mastercad etc.
kila transaction nachukua tsh. 2000,
vp sheria za TANZANIA zinaruhusu hii ishu au bado tumezubaa mpaka wachina waje kuziweka
its the best way ya kuwa na universal access to cash kwa hapo Tanzania.
rafiki,
wazo lako ni zuri tena sana ila weka angalizo ktk mambo haya:
1. transaction charges zako ni kubwa kwan u will discourge watu kuja kufanya transaction nyingi/ au watu kua makini kutofanya makosa( remember leo watu wanapoweka atm cards zao na kurudia rudia its good fr the banks)
2. Security YA HIYO ATM / wanaochukua maana kuna sehem zinaibiwa
3. it has expensive capital and high running maintanance cost
4. utaingilia ulaji wa watu( hujiulizi kwann mpk leo wasambazaji wa ATM wako wachache?)
5. kwa sasa ATM nyingi zilizopo TZ ni za wachina/mitumba, unaona zinavyotusumbua sasa na ww unawataja tena?
6. ukizipata ATM zenye ku-deposit n withdraw ni safi zaid
7. ni biashara yenye return nzuri sana, u will grow faster
Hiyo nisawa na wakala wa bank. Sheria ya Benki Kuu hairuhusu kuwa na wakala, labda sasa mambo yabadilike.habari za kwenu wana jamvi.