Oww mguu umedislocate miaka mitatu hujajirudia katika hali yakawaida/mnisaidieni hapa

Oww mguu umedislocate miaka mitatu hujajirudia katika hali yakawaida/mnisaidieni hapa

Path Creator

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
223
Reaction score
133
Nilikua nacheza mpira kawaida tu ila sikumoja nilichezewa vibaya namguu wangu ukateguka.Nilivyoenda hospitalini nilipewa dawa naclip yangufunga daktari akidai utajirudia katika hali yakawaida ila mpaka sasa bado na muda mwingine husikia ukipata mchemko,saidieni hapa!
 
Nenda Burere hospital kwa Dr. Bake yeye ni gwiji wa joints
 
Jakha,

Pole, ..kulingana na maelezo yako tayizo jili ni la muda mrefu, kwanini kuomba ushauri sasa?

-Umri na jinsia yako?
-Ni sehemu gani ya mguu?
-Je baada ya kuumia ni shida gani hasa inayosumbua, maumivu?Kutotembea vizuri? Kutonyooka au kukunjika kwa mguu? n.k?
-Ni matibabu gani uliyatumia na ni muda gani tangu uache?
-
 
Last edited by a moderator:
Umri ni 18 mvulana na sehemu inayosumbua ninyuma ya goti la mguu wa kushoto,shida inayosumbua ni mguu nikiunyoosha unanyooka kwashida make kuna mfupa nyuma yagoti wa mguu wakushoto unasikika ukilia"guu".Daktari walinipa dawa na clip bandage ambapo nilitumia miezi2 nikaacha tangu 2010 mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom