Path Creator
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 223
- 133
Nilikua nacheza mpira kawaida tu ila sikumoja nilichezewa vibaya namguu wangu ukateguka.Nilivyoenda hospitalini nilipewa dawa naclip yangufunga daktari akidai utajirudia katika hali yakawaida ila mpaka sasa bado na muda mwingine husikia ukipata mchemko,saidieni hapa!